Notifications
Clear all

NAFASI ZA KAZI. NATAFUTA FUNDI SIMU

6 Posts
4 Users
2 Reactions
463 Views
 ALM
(@alm)
Posts: 2
Honorable Member
Topic starter
 

Habari Mafundi. Naitwa ANTON LUSUNGU nina miaka 23, Natafuta fundi wa simu ambaye atakua tayari kunipa mafunzo ya ufundisimu. Napatikana Dar es Salaam.

Kama unanafasi yakunisaidia mawasiliano ni

0628855354

 


 
Posted : January 2, 2025 11:24 am
Fundi Simu
(@fundi-simu)
Posts: 17
Honorable Member
 

@alm Wakike au Wakiume?


 
Posted : January 2, 2025 1:32 pm
(@sunday)
Posts: 21
1K Trade Bond
 

@alm Unamiaka mingapi?


 
Posted : January 2, 2025 1:39 pm
(@jack-son)
Posts: 4
Honorable Member
 

@alm Umejipangaje?


 
Posted : January 2, 2025 1:45 pm
(@jack-son)
Posts: 4
Honorable Member
 

@alm Niko kkoo fundi mzoefu.


 
Posted : January 2, 2025 1:47 pm

 ALM
(@alm)
Posts: 2
Honorable Member
Topic starter
 

Mwenyewe ataweza kunipa mafunzo anicheki 0628855354 WhatsApp or Normal call 📞/ SMS


 
Posted : January 3, 2025 10:12 am