Mwenye kioo cha iPhone 7 kavu naomba bei
kiwe cheusi.
Kiwe original sio fake.
Niko Singida Mjini.
Bajeti yangu ni 50k .
@Fundi-Simu unataka kuniambia kioo cha iPhone 7 kina bei kubwa hivyo?
Tayari angalia kwenye ewallet yako,naomba ukitume kama tulivyokubaliana bro.
@mshangazi Sawa nimetuma Mwambie admin Achille pesa yangu tayari nimetuma
@Fundi-Simu simu yangu inachangamoto ya sauti simu inaita nikipokea sisikii kitu.