December 22, 2024 7:46 pm
Topic starter
Habari Marafiki.
Napatikana Kigamboni Vijibweni Dar.Natafuta mchumba awe Dereva na 🫢miliki Gari ndefu kama hii.
Kama unamiliki Gari tofauti na hili please usinipoteze muda wako.Umri sio kipengele sana kwangu.
Karibu sana twende shamba tukabebe mazao nakuyaleta sokoni.
@mshangazi-nangai Hii ni code inahitaji D moja tu ya olevel.
Mimi namiliki Scania na Trailer la Abnormal tukienda shamba trip moja tu hakuna kurudia mazao🙅♂️🙅♂️🙅♂️.