Notifications
Clear all

NAFASI ZA KAZI. NAFASI YA KAZI YA KUPIKA KWENYE RESTAURANT.

1 Posts
1 Users
1 Reactions
65 Views
Doreen Kagaruki
(@doreen-kagaruki)
Posts: 9
0.000
Topic starter
 

Kama ukoa SOTHAFRICA AU TANZANIA TUWASILIANE.

Uzoefu ni muhimu sana kwenye mambo ya Mapishi,anatakiwa mtu mwenye uzofu na jiko la kuchoma nyama pamoja na  kupiga vyakula  vifutavyo.

  • NDIZI BUKOBA 
  • UGALI
  • WALI
  • NYAMA CHOMA
  • MCHEMSHO WA SAMAKI 
  • MCHEMSHO WA NGOBE 
  • NYAMA ZA KUCHOMA 

MSHAHARA 

  • South Africa Rand 3,000.
  • 400,000 pesa za Kitanzania.

Kama unamtu wako wako unajua kabisa anaweza kulimdu Jiko share hii page nae.

 
Posted : December 21, 2024 6:50 am

Digxam

FREE
VIEW