Notifications
Clear all

GREETINGS! KAMA UNATAKA KUFANYA BIASHARA ZA SPARE ZA MAGARI MAYPA NA MTUMBA(USED)KUTOKA JAPAN TUWASILIANE.

4 Posts
3 Users
1 Reactions
410 Views
Ally Kanagawa
(@ally-kanagawa)
Posts: 136
100M Trade Bond
Topic starter
 

Kuna watu wengi wanatamani kufanya biashara za spare za Magari ya Used na Mapya ila wanakosa taarifa sahihi kwaribu sana.

1.Jisaji 

2.Niambia spare gani unahitaji 

  • kuna body 
  • Kunaa taa 
  • kuna engines 
  • kuna Rangi
  • nk

 
Posted : October 16, 2024 5:07 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 187
Admin
 

@ally-kanagawa Kuboresha huduma uliza sawali,Post au Comment,naku like post hii.


 
Posted : October 27, 2024 3:25 pm
(@david)
Posts: 2
0.000 Pay Cash
 

@ally-kanagawa Naweza pata Differential ya Toyota Noah SR40. Hii ni moja tu kwa ajili ya gari yangu


 
Posted : December 19, 2024 9:58 am
Ally Kanagawa
(@ally-kanagawa)
Posts: 136
100M Trade Bond
Topic starter
 

@David ikiwa pamoja na Tube housing yake sio?


 
Posted : December 19, 2024 12:13 pm