NAUZA LAPTOP YA TOSHIBAÂ MBOVU JAPOKUA INAWAKA,NADHANI TATIZO NI UCHAKAVU WA BODY YAKE KAMA KUNA MTU NATAKA NAUZA 50,000 TU.
NINGE PENDA KUTOA SHUKURANI KWA MTU ALIWAZA HII PLAFORM YA SIMU NA LAPATOPS KAWAZA VIZURI SANA PIA NFUMO WA DIG-PAY NI MZURI UNAONDOA FLAUD ZA MITANDAONI.
Â
Bei ndio hiyo 50,000 pamoja na usafiri,nitakutumia popote ulipo kwa bei hii.
Nitume kwenye namba ya VODA ya Wakala 886018 Paulo Hamaro
@hello-tanzania Hapana sitaki mambo ya kiswahili unamtu mtu hela kisha unakuwa mjinga naomba nikutumia kwa DIG-WALLET.
Asante namba yangu mwisho 18 nakupigia malanyingi naona kimya pokea tuongee.