Kwa bajeti ya 400k napata simu Gani nzuri used Japan na iwe portable maana spend simu kubwa SIPENDI SIMU FAKE ZA KICHINA nakaribisha ushauri
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Usafiri gani utaka kutumia
@ally-kanagawa Tayari form nimejaza.
Naomba itumike njia ya Ems.
@emakinombo Hapana simu kali ziko nyingi inategemea na bajeti yako.
Shost kwema chukua hii iPhone X iko vizuri mno.
@erica Utafeli mtihani bila kusoma maelezo mteja kasema nataka simu original 🤣 🤣 🤣 🤣 😆 😆 😆 🤣 😎 kwema lakini?
Ukweli usemwe niligiza simu yangu hii hapa ilipasuka kioo ilindondoka umbali mrefu ikaanguka kwenye talisi upande wa kioo yaani simu ililia nilijua kioo kwisha lakini kio kikakreki lakini simu inadunda hadileo kioo ni kigumu hatari.
Ukija kwenye chaji ilanakaa sana mim sizimagi data pia na washa hotspot muda wote lakini sitembei na chaja wa pawa bank simu za Japan ni original wala sio Siri ungekua mzigo wa kkoo hapa tungesha asau na matanga.
Naomba unitafutie kioo huku hivi vioo vya huku kama karatasi sitaki.
Nitakutimia fungua Thread ya hiki kioo.Naomba unitafutie kioo huku hivi vioo vya huku kama karatasi sitaki.
OK
hii ni original
Sawa
Tayari nimekutumia mzigo.
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/-waathirika-wakubwa-wa-simu-feki-wapo-mijini--2809448
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 Fungu hiyo habari ya mwananchi.