Notifications
Clear all

REPAIR LAPTOP YANGU ILIZIMA GHAFlA SHIDA INAWEZA KUWA NINI?

4 Posts
3 Users
0 Reactions
49 Views
0
Topic starter

Nina laptop ya Toshiba imezingua kinyama imezima ghafla sijajua shinda nini mafundi naomba masaada wenu.

Fundi Laptops Fundi Laptops December 15, 2024 10:34 am

@sniper Ningu kujua chanzo cha tatizo labda ungesema ulipo watu wakutafute wakuangalizie tatizo.

Adamh December 15, 2024 10:41 am

@sniper Uko mkoa Gani?

Sniper Sniper Topic starter December 15, 2024 11:12 am

Niko Kibaha boss wangu.

Sniper Sniper Topic starter December 15, 2024 11:13 am

Niko Kibaha boss wangu.


Digxam

FREE
VIEW