Notifications
Clear all

SOLVED! [Solved] NATAFUTA BATTERY YA BLUE MODEL C705104200L

16 Posts
5 Users
1 Reactions
77 Views
0
Topic starter

 

B85AAE9B DD8E 47E9 B57B 28846C3F2E21

Habari Mafundi! 

Natuta Battery ya simu yangu ya blue nitapata kwa bei gani?

Fundi Laptops Fundi Laptops December 15, 2024 7:48 am

@tatu Hii ni simu ya Kimarekani

Winga Mzoefu Winga Mzoefu December 15, 2024 8:15 am

@tatu Nayo original mpya.

2 Answers
1
Topic starter
F62574BF 20AD 4C92 B14A DFFD64518F6F

Angalia vizuri hii simu nataka exactly kama utanitukia tofauti nalipa kwa Dig-Pay 

Winga Mzoefu Winga Mzoefu December 15, 2024 6:59 am

@tatu Ndio hii 💯 sibatishi.Lipia kwa Dig-Pay sawa nauakika na kazi zangu.

Fundi Simu Fundi Simu December 15, 2024 7:04 am

@tatu Hii yenyewe mpe hela yake.

Veronica Victor Veronica Victor December 15, 2024 7:44 am

@tatu Hii ni simu original imetengenewa USA.

Fundi Laptops Fundi Laptops December 15, 2024 7:49 am

@tatu @Vronica-Victor true

0

Battery ipo bei yake 30,000 tu.

Mini ni Winga wa online ukitaka kufanya kazi na mimi fanya hivi Post kile kitu unatafuta kisha nitakuunganisha na wauzaji. 💣 🍒 🍹 🍻

Tatu Topic starter December 15, 2024 6:41 am
Winga Mzoefu Winga Mzoefu December 15, 2024 6:52 am
86629E7A 1175 4449 964E C9799FE9C764
Tatu Topic starter December 15, 2024 6:54 am

@winga-mzoefu Bei ya mwisho bei gani?

Fundi Simu Fundi Simu December 15, 2024 7:04 am

@winga-mzoefu Hii yenyewe boss.

Tatu Topic starter December 15, 2024 7:52 am

@winga-mzoefu Usafiri bei Gani?

Winga Mzoefu Winga Mzoefu December 15, 2024 7:55 am

5,000 plus 30,000 jumla 35,000 tu.

Tatu Topic starter December 15, 2024 8:07 am

@winga-mzoefu BLD8FU18N9256 Confirmed. Tsh35,000.00 paid to LIPA DIGXAM TRADES JW on 15/12/24 at 11:05 AM and charged Tsh1,000.00.

Winga Mzoefu Winga Mzoefu December 15, 2024 8:16 am

@Tatu asante!

Nakutumia mzigo wako kuanzia j3.


Digxam

FREE
VIEW