Leo nimekuja hapa na habari njema kuhusu hili zao la Ndizi,ningependa week tujadili kuhusu faida ya ndizi.
@prof-kandinda Hii kitu sura sio ngeni ila kunasehemu naweza kupata mzigo mkubwasana kama vipi nipe kazi niingie mtaani.
@prof-kandinda Hii kilo moja inaendaje boss? Hii kikwetu tunaina Moyoni.
@Sniper Asante kwa mchango wako.Bei elekezi inakuja soon.
@prof-kandinda Nyie mliko mbele endelea kufanya tafiti na ugunduzi wa vitu sisi huku umesha stak yaani huku tumeisha kaachini tunangoja Neema ya Mungu.
The banana blossom market is expected to grow, with a projected valuation of US\$653 million by 2030
Faida za Kiafya:Â
Hizi ni baadhi ya content zilizomo, Bikamka bana,kujifunza zijinsi:
Â
Tukutane kwenye comments section nipe maone yako.