HABARI ZA MCHANA.
Habarini Ndugu,nipo Mkoani huku katavi na baada ya kuhangaika sana kutafuta biashara kwa ajili ya kipato cha ziada. Nimegundua kua biashara ya rasta za wadada inatoka sana,ninaomba mwenye abc juu ya biashara hii tuwasiliane kupitia kwenye comments section , lengoni kujuzwa wapi kwa Dar ntapata mzigo wa jumla na kwa bei nzuri,kama ni kiwandani ama sehemu nyingine tofauti......... natanguliza shukrani zangu.
Unahitaji mzigo kiasi gani nadhani kiwandani kunakiwango cha mtaji unatakiwa uwenacho.
Nywele zipo dozen moja kuna Raster 12 bei yake ni efu 10,000.
Kama kuna mtu anauza naomba tuwasiliane nalipa kwa DIG-CASH kama unapokea pesa tofauti na utaratibu huu sitoweza kulipa.