Notifications
Clear all

SOLD! [Solved] KWAMAHITAJI YA SIMU ORGINAL MPYA AU MTUMBA AGIZA KUPITIA PAGE HII.

31 Posts
5 Users
3 Reactions
572 Views
2
Topic starter

Natafuta iphone x GB  256 nIko Moshi, nataka used ambayo imetumika ulaya au Japan iwe imefunguliwa isiwe na iclud battery isiwe mbovu  pia iwe na chaji yake original pamoja na earphones.

Malipo.

Kama uwezi kupokea pesa kwakutumia nfumo wa DIG-PAY naomba usipoteze muda wako hapa sitatuma pesa kwanjia nyingine tofauti na nfumo huu.

 

 

Kama unayo naomba tukutane kwenye coments section.

Jonson John Jonson John November 27, 2024 5:45 am

@rahma-matty Vipi umepa simu?

Jonson John Jonson John November 27, 2024 5:51 am
Jonson John Jonson John November 27, 2024 5:53 am

@rahma-matty hii hapo simu napokea kwa DIG-CASH,hii simu ni used Japan Simu iko Japan.

Jonson John Jonson John November 27, 2024 6:03 am
Rahma Matty Rahma Matty Topic starter November 27, 2024 6:05 am

Hii bei gani?

Rahma Matty Rahma Matty Topic starter November 27, 2024 6:10 am

GB ngapi?

Jonson John Jonson John November 27, 2024 6:14 am

@rahma-matty 256 GB

Jonson John Jonson John November 27, 2024 6:15 am

@rahma-matty 2500,000.

Rahma Matty Rahma Matty Topic starter November 27, 2024 6:46 am

Naipataje kutoka huko Japan hadi Mosho? Vipi bei inapoa kidogo?

Jonson John Jonson John November 27, 2024 6:52 am

@rahma-matty Unaipata ndani ya week moja tu. Weka balance kwenye wallet yako ya DIG-PAY kisha Lipia ili kesho mapema nikutumie kwa njia ya EMS utaichukua huko Moshi.

Rahma Matty Rahma Matty Topic starter November 27, 2024 6:55 am

A.Nawekaje Balance kwenye wallet?
B.Kuna gharama zingine nitalipia huku simu ikifika?
C.Simu inakipengele chochote?

Jonson John Jonson John November 27, 2024 7:04 am

@rahma-matty A.Tumia lipa Namba 175 561 26 ya TIGO jina la mpokeaji ni Digxam Trades.Ukisha kamilisha mtumie admin copy ya receipt ya malipo @admin. B.Ndio utalipia hela kidogo kwenye department ya Custom kama ushuru. C.Simu haina kipengele chochote.

Rahma Matty Rahma Matty Topic starter November 27, 2024 7:47 am

Nomba QR CODE ya hiyo lipa namba.

Digxam Digxam November 27, 2024 7:51 am
Rahma Matty Rahma Matty Topic starter November 27, 2024 8:19 am
image
Rahma Matty Rahma Matty Topic starter November 27, 2024 8:20 am

Mbona sioni update kwenye Ewallet yangu @admin?

Rahma Matty Rahma Matty Topic starter November 27, 2024 8:34 am
balance1
Digxam Digxam November 27, 2024 8:41 am

@rahma-matty

balance2

Angalia vizuri hakikisha ume login kwenye account yako.

Rahma Matty Rahma Matty Topic starter November 27, 2024 8:47 am

OOOh sawa! nimeona kwayo nalipaje hapa.

Digxam Digxam November 27, 2024 8:52 am

@rahma-matty Seller kaishakutumia invoice bonyeza kitufe kimoja wapo yaki ya accept au Cancel,ukibonyeza Accept tayari uutakwa umemlipa kiasi cha 250,000 kwajili ya manunuzi ya simu ya iPHONE X GB 256 USED Japan.

Rahma Matty Rahma Matty Topic starter November 27, 2024 9:01 am

Tayari nimepata ujumbe sent to incoming balance

inauliza Release this amount 250,000 nibonyeze hiki kitufe?

Digxam Digxam November 27, 2024 9:17 am

@rahma-matty Hapana do not release hadi ukipata mzigo wako ndio una achilia mazima hiyo pesa au admini anaweza kukusaidia kuiachilia hizo pesa kwenda kwa  muuzaji endapo utachelewesha au  utakuwa nje ya mtandao kwa muda mrefu sana. Hiyo pesa umeituma ila ningumu seller  au wewe buyer kuitoa yaani  withdraw, seller anaweza kuitoa kama buyer au admin kaiachilia kwenda kwake. Buyer hii pesa inaweza kumrudia kama admin atairudisha kwa buyer hivyo admin ana mamlaka ya kurudisha hii pesa kwa buyer au kwa seller tu pia yeye hana option ya kuitoa.

Rahma Matty Rahma Matty Topic starter November 27, 2024 9:22 am

Ok Sawa asante sana @jonson-John kesho nangojea update nimekutumia ujumbe kwenye whatspp yako.

Digxam Digxam November 27, 2024 9:25 am

@rahma-matty Asante kwakutumia huduma zetu za online pamoja Huduma za malipoa kwanjiya ya matandao yaani DIG-PAY.Karibu sana.

Jonson John Jonson John November 27, 2024 9:43 am

@rahma-matty Kesho mapema ukiamka utakuta tracking number ya mzigo wako.

2 Answers
1
receipt2

 

 

Mzigo wako tayari nimeutuma kwanjia ya EMS baada ya week moja utapokea mzigo wako,asante kwakuniungisha karibu sana.

 

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Rahma Matty Rahma Matty Topic starter November 28, 2024 6:53 am

@jonson-john Sawa nimeona nashukuru sana kwa uamnifu.

Jonson John Jonson John November 28, 2024 6:56 am

Asante ku Shukuru twendelee kuwasilina.

Rahma Matty Rahma Matty Topic starter November 28, 2024 7:00 am
0

Natafuta Samsung GALAXY A23 5G  SC-56C bei gani hadi hapa Matema Kyela Mbeya. 

Hello Tanzania 🇹🇿 Hello Tanzania 🇹🇿 December 16, 2024 8:19 am

@matema Sowa


Digxam

FREE
VIEW