Notifications
Clear all

[Sticky] USAFIRI WA PAMOJA WAFANYA BIASHARA KUTOKA TANZANIA KWENDA JAPANA.

9 Posts
3 Users
5 Reactions
195 Views
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 433
Seller
Topic starter
 
.

tokyo

USAFIRI WA PAMOJA WAFANYA BIASHARA KUTOKA TANZANIA KWENDA JAPANA.

  • VIGEZO 
  1. TIN namba.
  2. Lesen ya Biashara.
  3. Passport ya kusafiri kurasa kuanzia mbili
  4. Bank Statement.
  5. Kiwango cha chini cha mtaji kuanzia  60ml Tsh.
  6. Visa Fees
  7. Freight ticket 
  8. Kifurushi cha unlimited.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : November 19, 2024 6:54 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 433
Seller
Topic starter
 
Kama unafanya biashara zifutazo:-

  • Magari
  • Spare za Magari
  • Pikipiki
  • Baiskeli za Mtumba
  • Vifaa vya habaharini na Ziwani
  • Vifaa vya ujenzi wa Barabara
  • Vifaa vya ujenzi wa Majengo
  • Vifaa vya Electronics
  • Navingine vingi.......... 

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : November 19, 2024 8:18 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 433
Seller
Topic starter
 
Comment hapa chini  tuambie vitu gani unataka   kuchukua Japan na kwalini utakuwa tayari.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : November 19, 2024 8:20 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 433
Seller
Topic starter
 
Safari ni kuanzia watu watano,tujipange tukifuka watu watanao tunaanza maandali ya safari,kama unaswali naomba uliza.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : November 19, 2024 8:23 am
(@tokyo-used-parts)
Posts: 13
0.000
 
@jonson-john Mkuu mtaji wa 60ml ni mkubwa sana,Niko ilala kuna watu zaidi ya 10 wako tayari kwa mtaji wa 30ml

Posted : November 19, 2024 8:35 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 433
Seller
Topic starter
 
Kwaiyo wewe ndio msemaji wao kwanini wasije hapa individually kila mtu akajieleza?

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : November 19, 2024 8:40 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

(@tokyo-used-parts)
Posts: 13
0.000
 
@jonson-john Nahitaji used parts kutoka Japan moja kwa moja sio Dubai.

Posted : November 19, 2024 8:42 am
(@tokyo-used-parts)
Posts: 13
0.000
 
@jonson-john Ongeza Nguo za mtumba na Viatu vya mtumba.

Posted : November 19, 2024 8:43 am
 Juju
(@juju)
Posts: 1
0.000
 
@jonson-john Niko tayari.

Posted : November 24, 2024 7:29 am

Digxam

FREE
VIEW