Notifications
Clear all

AGRICULTURE MARKET. NATAFUTA SOKO LA MAHINDI.

3 Posts
2 Users
2 Reactions
274 Views
1
Topic starter

Habari za jioni natumaini mko poa.

Naomba msaada wa kufaham soko Zuri la mahindi ndani na nje ya Tanzania lakn pia naomba kufaham namna ya kupata kibali cha biashara hii ya kusafirisha mahindi.

1 Answer
1

Uko mkoa gani?

 

una tani ngapi za mahindi?

 

weka picha tuone mzigo.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Jackson Topic starter November 15, 2024 4:10 pm

@jonson-john Niko Mbeya.

Jackson Topic starter November 15, 2024 4:11 pm

@jonson-john Zaidi ya Tan 30


Digxam

FREE
VIEW