SHINDANO!!
Weka Picha yoyote yenye mvuto ipigiwe kura ushine 30,000.!
VIGEZO
SHINDANO HILI LIMEDHAMINIWA NA DIGXAM LIPA KWA SIMU
@veronica-victor Tunaruhusiwa kuweka picha post zaidi ya moja eet?
Naomba kura yako wadau,najua hii 30,000 niyangu mtaniunga mkono itanisaidia kwenye mishe zangu za unguzi wa hapa na pale.
Shalom!
Kwaajina naitwa Magreth Mbaka mkazi wa Singida,kama umewai kufika Singida kuna sehemu moja kunaitwa Kisigi hapa ni nyumbani.Kuhusu shindani hili naamini watu wote mtanipigia kura niweze kushinda hii 30,000 itanisaidia sana kwenye mipango yangu ya ujasiliamari,natangu shukurani kwadau wote waandaaji washiriki pamoja na piga kura, Asante.
@magreth-mbaka Kura yangu umepata mrembo.
Namba namba yako tuyajenge
Kama uwezi kunipigia kura hadi nikupe namba basi kura yako peleka kwingine.
Sio kweli ikowapi?
Nikipa hii 30,000 ni parefu sana shamba langu la mbaazi nanunua dawa ya kuua wadudu.Jamani naombeni Kura kilimo nikilakitu.
Nilienda kukopa unga nikafika nikakuta mazingira kama unavyojiona hapo juu kwenye picha.Ndugu zanguu njaa inauma usipime.
Maisha yetu kama unavyo jionea hapa kwenye picha ndugu zangu hii 30,000 tutanunua dagaa na unga siku inasongo naomba kura yako.
Tumepata mshindi wetu wa tozo la shilling 30,000.Ningependa kumtangaza @jailos kama mshindi wa shindano letu kwa ushindi wa kura 16 kati ya 15 kwakumzidi kura 1 tu.
Naomba maelekezo jinsi ya kutuma hii pesa yako.
baada ya muda kuisha uwezi kupiga kura ikakubali itagoma.
@jailos Umejipatia kiasi cha shilling 30 elfu.
Naomba maelekezo jinsi ya kutuma pesa yako.
@veronica-victor Nawashukuru sana Watanzania kwakupigia kura nakuibuka mshindi wa 30,000Tsh Mungu wabariki sana.
@veronica-victor Naomba unirushie kwenye namba ya wakala hii hapa.TIGO 612590 JINA NI PAULO ALOYCE HAMARO.
SAWA NAKUTUMIA.
Malipo ya mshindi wetu wa shindano (la weka picha yenye mvuto upate elefu 30 tayari yamekamilika.
Ngoja nianzishe shindano langu si inakubalika?