Notifications
Clear all

Volunteers Needed [Closed] NANI ANGEPENDA KUJITOLEA KUFANYA KAZI NA SISI

34 Posts
11 Users
33 Reactions
364 Views
7
Topic starter

 

9BFDEC6E 2ABC 407E 957C 541150537BD9
9DF5AF74 F6A9 45F7 8C43 C4351F034A78

Habari Wadau!

  1. Wangapi wako tayari  kujitolea kufanya kazi na sisi?
  2. Ungependa ufanye kazi na sisi katika kitengo gani?
  3. Unaujuzi gani kwenye Digital Marketing?

Tukutane kwenye comment sections,ukiwahi comment ikitokea nafasi utaitwa wa kwanza.Share hii post iwafikie watu wengi.

 

EmmyName October 26, 2024 1:21 pm

@veronica-victor Habari niko tayari

Asics October 26, 2024 2:52 pm

@veronica-victor D-70707020

Veronica Victor Veronica Victor Topic starter October 26, 2024 2:54 pm

Hii ndio nini rudi kamuulize vizuri aliekutuma.

Asics October 26, 2024 2:56 pm

@veronica-victor Kuna mtu kaweka Tangazo huku facebook madam nimefata maelezo yake.

Veronica Victor Veronica Victor Topic starter October 26, 2024 2:57 pm

Sawa double check hiyo number aiko sawa.

Asics October 26, 2024 2:58 pm
Veronica Victor Veronica Victor Topic starter October 26, 2024 3:00 pm

Sawa karibu nimekuunga moja kwamoja kwenye training.

Paul Bomani November 3, 2024 7:37 am

@veronica-victor Niko Tayari Kufanya KAZI na Nyingi

Mimi ni content creator Nimesoma Digital marketing na Copywriting

Tuwasiliane
Call & WhatsApp
📲+255765113961
📧 paulaneckas@gmail.com

Veronica Victor Veronica Victor Topic starter November 3, 2024 8:38 am

Sawa karibu sana nitakutafuta.

Chief GodLove Chief GodLove November 3, 2024 9:31 am

@veronica-victor Niko Tayari Kufanya kazi

Mimi ni content creator +255768453622

8 Answers
5

Naomba nitafutie nafasi yoyote hata kwenye logistics Japan au SouthAfrica Niko tayari.

Veronica Victor Veronica Victor Topic starter October 25, 2024 10:33 am

@happy Uko Mkoa gani Happy?

EmmyName October 26, 2024 1:22 pm

@happy Niko tayari

4

Naomba kitengo cha spare za Magari nifanyie mpango nije Japan naweza kukata Magari kwajili ya Spare.

Veronica Victor Veronica Victor Topic starter October 21, 2024 6:17 am

@jasusi-mweusi Sawa Maombi yako yamefika.

EmmyName October 26, 2024 1:23 pm

@jasusi-mweusi Duh hata mimi pia naweza kufanya hii kitu.

4

Niweke popote nafti vizuri,kwakifupi niko vizuri sana kwenye mambo ya Digital marketing.

Veronica Victor Veronica Victor Topic starter October 21, 2024 9:35 am

@sweetheart Kuwa specific umebobea kwenye Digital Marketing sehemu gani?

SweetHeart October 21, 2024 9:36 am

@veronica-victor Content control.

Veronica Victor Veronica Victor Topic starter October 21, 2024 9:37 am

@sweetheart Sawa Karibu sana ikitokea tutakuzingatia.

Veronica Victor Veronica Victor Topic starter October 25, 2024 10:39 am

@sweetheart nitumie details zako kwenye info@digxam.site

3

Habari Boss Lady! naomba nikafanye kazi ya modulator nitaifanya hii kazi kwa uaminifu mkubwa 20/7,niko interested sana,nashukuru kwakutonyesha dira sio lazima kuajiriwa  mafisini na viwandani kilasiku upande daladala. 

Veronica Victor Veronica Victor Topic starter October 21, 2024 5:36 am

@omega Salama!

Umenielewa  vibaya wapi nimetangaza ajira?

Omega October 21, 2024 5:37 am

@veronica-victor Hii hii ya Kujitolea.

3

Niko Dar Es Salaam,na Degree ya moja ya uchumi.

Veronica Victor Veronica Victor Topic starter October 25, 2024 10:36 am

@happy nicheki kwenye email info@digxam.site

 

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

 

3

Da Vero habari za huko,naomba nikutumie CV zangu kwenye hiyo email ya info.

Veronica Victor Veronica Victor Topic starter October 25, 2024 12:01 pm

@jasusi-mweusi Sawa nitumie.

2

Niko Tayari kujitolea.

EmmyName October 26, 2024 1:24 pm

@enock-ngemela Tuko wengi.

Veronica Victor Veronica Victor Topic starter October 26, 2024 3:34 pm

@enock-ngemela Tuma nyote.

1

Mini ni Mkenya naweza omba hii Volunteer? 

Veronica Victor Veronica Victor Topic starter October 26, 2024 3:35 pm

@savaly Karibu sana Ngoja ni mtag boss wangu atakujibu@digxam

Veronica Victor Veronica Victor Topic starter October 26, 2024 3:36 pm

@savaly Karibu sana Ngoja ni mtag boss wangu atakujibu@digxam


Digxam

FREE
VIEW