Naomba kila mtu ajitabulishe sio mbaya kila mtu akijotabulisha wageni na wenyeji.
Kama ungependa kupata malipo kwajili ya kushare website na page zetu baada ya kujisajili bonyeza hapa.
Tupe maoni yako baada kujitambulisha.
Fungua Thread yako andika jambo lolote kama biashara au maoni kisha post .
Baada ya kupost thread yako share kwenye mitandao ya kijamii kulingana na idadi ya network uliyonayo kwenye kurasa zako zote,bonyeza vitufe vya kushare au copy link kisha past kwenye mitandao ya kijamii.