Notifications
Clear all

ZAWADI! [Sticky] POST ZAIDI USHINDE LAKI MOJA KILA WEEKI,(POST ZAIDI SHINDA ZAIDI )

13 Posts
12 Users
2 Reactions
82 Views
Digxam
(@digxam)
Posts: 55
Admin
Topic starter
 

INGIA KWENYE DROO USHINDE LAKIMOJA KILA WEEK.KUSHIRIKI FANYA MAMBO YAFUTAYO:

  • Posts Kila Siku. 
  • Like Page Na Posts.                              
  • Share Page Zetu Kwenye Mitandao Mbalimbali Ya Kijamii.
  • Post kitu chochote.
  • Comment kwenye posts.

VIGEZO 

  1. Uwe na Posts 10.
  2. Post zako ziwe na wachangiaji wasio pungua 20,
  3. Uwe na comments 5.
  4. Mshindi lazima upate kura zisizopungua 100.
  5. Zikipungua kura 100 mshindi atapewa zawadi zikitimia.
  6. Washiriki  kila week wasipungue idadi ya watu 5.
  7. Kama unavigezo Andika MALEZO KWANINI USERS WAKUOGIE KURA" chini kwenye Post.
  8. Mwisho wa usajiri ni juma pili usiku saa 6 ya Tare 04/11/2024.
  9. Wenye vigezo wote mnakaribishwa.

SHINDANO HILI LIMEDHAMINI NA DIGXAM.

 
Posted : October 30, 2024 9:55 pm
Jonson John and Digxam reacted
Kaganda
(@kaganda)
Posts: 49
 

Kila mtu atakayenipigia kura yake Mungu utampa baraka nyingi sana,plase naomba unipigie kura nishinde hii tuzo ya 100,000 utabarikiwa sana.

 
Posted : October 30, 2024 10:14 pm
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 433
Seller
 

Naomba kila mtu ambaye tumefanya biashara  hapa ikaenda vizuri naomba kura yako.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

 
Posted : October 31, 2024 8:01 am
Ally Kanagawa
(@ally-kanagawa)
Posts: 103
Seller
 

Wateja wangu wote nawapa hi popote mlipo,bila kusau watu wangu wasimu pale karikoo mtaa wa Aggrey na wapa hii sana pia Karume kwenye laptops na Ps napa hii sana.

 
Posted : October 31, 2024 8:05 am
(@rizione)
Posts: 13
Seller
 

Habari wakuu.

Nimejitokeza kwa mala ya kwanza kwenye shindono hili naamini kila mtu anatipigia kura ya ushindi,nawashuku waandaji wa shindano hili Digxam pamoja na wadau wengi asante sana.

Kura zote naomba piga hapa.

 
Posted : October 31, 2024 8:33 am
Rosa Lia
(@rosa-lia)
Posts: 27
Unlimited Member
 

Hii week yangu yakutoa,Naami Generation Z  kura zenu zote za kwangu kama wewe Genzs full vibes gonga kura kwangu hapo.

 
Posted : October 31, 2024 8:39 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

(@sunday)
Posts: 18
Unlimited Member
 

Naomba kura.

 
Posted : October 31, 2024 8:48 am
(@majid)
Posts: 25
Unlimited Member
 

Naomba kura yako ndau.

 
Posted : October 31, 2024 8:51 am
(@kayungi)
Posts: 17
Unlimited Member
 

Naomba @admin atuwekee option ya voice recorder hapa sio kila mtu anaweza kuandika wengine wazuri wa kuogea,Naomba kura yako.

 
Posted : October 31, 2024 9:00 am
zawadi Kabuka
(@zawadi-kabuka)
Posts: 14
Unlimited Member
 

Kwema jamani!

Naomba kura niwezi kushinda hili tuzo ya 1k kikweli nimefurahi sana kuona vitu kama hivi mtando nawapongeza sana niko pamoja nanyie.

 
Posted : October 31, 2024 9:05 am
Dura
 Dura
(@dura)
Posts: 28
Service Provider
 

Kura zote kwa Dura.

 
Posted : October 31, 2024 2:57 pm
(@zuhura)
Posts: 34
Unlimited Member
 

Kura zote kwa Zuhura.

 
Posted : October 31, 2024 3:02 pm

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

Digxam
(@digxam)
Posts: 55
Admin
Topic starter
 

@kayungi Sawa nalifanyia kazi.

 
Posted : November 1, 2024 6:25 am

Digxam

FREE
VIEW