Kuna jeck za Magari pcs 100 mchanganyiko kubwa na mdogo kama zinavyo onekana kwenye picha.
Leta offa yako nikusikilize.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.
Mkuu umechanganya hizi sio Jack motor za vioo.
@jonson-john Kuboresha huduma uliza sawali,Post au Comment,naku like post hii.