April 6, 2024 6:33 pm
Topic starter
Kama unavyo ziona ni mchanganyinyiko Magari tofauti ziko pcs 100.
Nipe offa yako.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
@jonson-john Kuboresha huduma uliza sawali,Post au Comment,naku like post hii.
Nimekusoma uko vizuri sana kwenye hii industry safi sana kwenda Dubai labada kutembea umetisha sana.
Naomba hata sisi wa kifaa kiomoja kimoja utukumbuke i see.