Notifications
Clear all

MNADA WA DRIVING SHAFTS HUB NA SHOCK UP KWA BEI YA JUMLA.

25 Posts
11 Users
34 Reactions
408 Views
2
Topic starter
7CF98A7E 268A 433F B453 AA2F32780957
8E2B7869 A2CD 4AD8 90E2 89991A350690
7F40779D 41BB 4D16 81B2 DEEAB236F06D
A906F606 030F 48F8 9E13 2BF9A1BDEDBB

773976EE B58C 4DA7 9D27 372A0F4EE692
81AEF45C AEF4 4BC4 93BC 31487413CFB7
132EACDE FA7D 4022 9127 22195742D4B7

20221220 130306

Ziko pcs 100 za hub driving shafts pamoja na spring za nyuma na nambele za Magari madogo mchanganyiko.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Veronica Victor Veronica Victor October 27, 2024 3:33 pm

@jonson-john Kuboresha huduma uliza sawali,Post au Comment,naku like post hii.

16 Answers
2
Topic starter

Mzigo kama unavyo uona..

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

2
Topic starter

Kama unajijua sio Unlimited Member naomba ukalipie kisha uje ushiri minda usipote muda wako.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Tokyo Used Parts April 5, 2024 11:12 am

Posted by: @jonson-john

Kama unajijua sio Unlimited Member naomba ukalipie kisha uje ushiri minda usipote muda wako.

Hii ikoje.

2

Nikupe bei gani bosi hizo?

Jonson John Jonson John Topic starter April 6, 2024 8:42 pm

Posted by: @tokyo-used-parts

Nikupe bei gani bosi hizo?

Mkuu naomba ulipie Membershi kwamba ili kupanda bei ukazingua nashirikisha admin tunagawana salio,sitanii free members mnafanya kazi iwe ngumu sana.

2

Kwani taratibu zikoje

2

Ukiweza tenganisha kila kitu kikae peke yake.

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

2

Nazitaka zote.

2

Mzigo uko sawa ngoja nashe hii kwenye Group la wauza spare wakuungishe.

2

Inabidi mjipange upya,mwanzo milizua watu wasi na balance kuingia hapa sijui nani kawafungulia,kiukweli tunashindwa kuelewa ndio maana tumeamua kukaa pempeni tunawazoom.

Weka taratibu zote wazi kama bei ni pamoja usafiri na ushuru tujue moja.

2

Vifurushi vyenyewe jana leo vimepanda bei sio kesi niko serious naomba tuvumiliane. 

2

Bila utaratibu panakuwa sanda kalawe @admin kala sijui ebu weka mazingira mazuri tufanye biashara hapa kuna utoto mwingi.

Zawadii April 6, 2024 8:58 pm

Posted by: @zawadii

Bila utaratibu panakuwa sanda kalawe @admin kala sijui ebu weka mazingira mazuri tufanye biashara hapa kuna utoto mwingi.

We nae ni walale wale.

2

Usiku mwema.

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

2

Naomba twendelee na utaratibu wa zamani @moderator 

2

Twendelee mkuu leta bei,hapa sio Facebook au ista,hapa wote wafanya biashara tusitishane.

Greene April 6, 2024 9:28 pm

Posted by: @kasusura

Twendelee mkuu leta bei,hapa sio Facebook au ista,hapa wote wafanyabiashara tusitishane.

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 pale kwa Mangi sio.

Greene April 6, 2024 9:34 pm

Posted by: @kasusura

Twendelee mkuu leta bei,hapa sio Facebook au ista,hapa wote wafanya biashara tusitishane.

Nilijua tu wazee skinka wata left 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 .

2

Watu wameisha gonga visungura lugha gongana.

Greene April 6, 2024 9:26 pm

@jackson Hawa ni wahuni usiwafiche wambie ukweli hawakanyagi tena hapa vivuruge.

2

Free members twendelee kutumia majukwaa mengine hili tuliache kwamuda hadi hapo baadae nitawajulisha, asante kushiriki.

Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.

Twaha Fadhiri Twaha Fadhiri April 7, 2024 7:46 am

Posted by: @admin

Free members twendelee kutumia majukwaa mengine hili tuliache kwamuda hadi hapo baadae nitawajulisha, asante kushiriki.

Imekwenda 😋 😋 😋 😋 😋 😋 😋 😋 😋 😋 

Veronica Victor Veronica Victor October 27, 2024 3:35 pm

@admin Kuboresha huduma uliza sawali,Post au Comment,naku like post hii.

2

Twende kazi.

Digxam

FREE
VIEW