Notifications
Clear all

ENGINE OIL 40 LTS

10 Posts
7 Users
9 Reactions
214 Views
2
Topic starter
20221227 091531
20221227 091601

Nipe offa yoko, jumla 40 lts.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Kasiro October 27, 2024 12:09 pm

@jonson-john Hii oil yenyewe

Veronica Victor Veronica Victor October 27, 2024 3:22 pm

@jonson-john Kuboresha huduma uliza sawali,Post au Comment,naku like post hii.

7 Answers
1

Naomba price list ya oil Orginal kutoka Japan kuanzia lita 1,000 

Engine za Petrol na Diesel 

1

Nalifanyia kazi nitakujibu.

Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.

1

Sawa nangojea majibu

1
Topic starter

5W 30

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

1

Ofa yangu ni 200,000.

Kasiro October 27, 2024 12:10 pm

@sunday Vipi ulipa hii oil nikutafute

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

1

Nitakua 6,000@lt 1 

1
Topic starter

Panda dau mkuu.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Digxam

FREE
VIEW