Notifications
Clear all

GREETINGS! TANGAZO: MIMI WINGA MZOEFU NAKUUNGANISHA NA WAUZAJI UTANILIPA KIDOGO

22 Posts
9 Users
14 Reactions
210 Views
Winga Mzoefu
(@winga-mzoefu)
Posts: 20
Topic starter
 
Habarai za asubuhi Mabibi na mabwana!

Naomba ni ingie kwenye mada moja kwa moja,katika pitapita zangu nikakutana na hawa Digxam nikapitia content zao nikavutiwanazo ni kajisajili  tayari ni member hapa,kuna huduma hapa nimengundua hakuna mtu anazitoa mimi kama kijana asie na ajira tayari nimeona hii ni fursa kubwa kwangu nakuja hapa kama winga mzoefu nakuunganisha na mteja au muuzaji utanilinda baada ya biashara kufanyika,

Kama unataka kitu chochote baada ya kukipost hapa  mimi nakuunganisha na watu wanaouza bidhaa hiyo wakiwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii nchini au mtaani mkiwasiliana mkafanya biashara kilakitu kikaenda vizuri naomba ulifikiri kwakunirushie hela kidogo ili ndogo wenu niweze kuishi, wangapi mtanirushia kidogo au wangapi mtanikumbuka baada ya biashara kufanyika?

Nomba uongozi mnipe kibali cha kufanya  hii kazi lengo kuongeza wateja kwenye hii platform lakini pamoja na kuongeza wateja nitalipia kifurshi cha membership kila mwaka kama @Agent asante sana duguzangu @Admin 

Mini ni Winga wa online ukitaka kufanya kazi na mimi fanya hivi Post kile kitu unatafuta kisha nitakuunganisha na wauzaji. 💣 🍒 🍹 🍻

Posted : September 27, 2024 7:03 am
Sniper
(@sniper)
Posts: 71
Deposit 50,000
 
Hii kazi umeniwai mkuu lakini hakuna shida tutasaidiana wateja ni wengi sana kwenye ground hivyo usijali tushirikiane pamoja tutengeneze kakampuni ketu ndani ya kampuni.

Posted : September 27, 2024 7:10 am
Kanavalo reacted
Winga Mzoefu
(@winga-mzoefu)
Posts: 20
Topic starter
 
@sniper Sawa kiongo karibu sana.

Mini ni Winga wa online ukitaka kufanya kazi na mimi fanya hivi Post kile kitu unatafuta kisha nitakuunganisha na wauzaji. 💣 🍒 🍹 🍻

Posted : September 27, 2024 7:17 am
Sniper
(@sniper)
Posts: 71
Deposit 50,000
 
@winga-mzoefu Mwanagu harakati naona kama kuna kipengele hapa hii kwako ipo mkuu   "Awaiting moderation"

Posted : September 27, 2024 7:22 am
Winga Mzoefu
(@winga-mzoefu)
Posts: 20
Topic starter
 
@sniper Hii kipengele kipo mkuu kinakosaje kwa backbenchers inatakiwa uwe na D mbili kujua jinzi ya kutoa kwenye huu mtego wa Awaiting moderation siku moderators wakiwa busy mawasiliano hakuna hapa dawa yake ni kulipia hata kifurusho cha 50k kama mtaji kila biashara inahitaji mtaji na uwekezaji. 

Mini ni Winga wa online ukitaka kufanya kazi na mimi fanya hivi Post kile kitu unatafuta kisha nitakuunganisha na wauzaji. 💣 🍒 🍹 🍻

Posted : September 27, 2024 7:29 am
Sniper
(@sniper)
Posts: 71
Deposit 50,000
 
Hivi tukimuomba @admin atakuposhe tuwe tunamlipa kidodogo kwani kuna ubaya.

Posted : September 27, 2024 7:38 am
Kanavalo reacted

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

Winga Mzoefu
(@winga-mzoefu)
Posts: 20
Topic starter
 
Nimeishalia ugent tayari admin naomba ungalia kwenye lipa namba Juma Mkunda @Admin  

Mini ni Winga wa online ukitaka kufanya kazi na mimi fanya hivi Post kile kitu unatafuta kisha nitakuunganisha na wauzaji. 💣 🍒 🍹 🍻

Posted : September 27, 2024 7:59 am
Kanavalo reacted
Sniper
(@sniper)
Posts: 71
Deposit 50,000
 
@winga-mzoefu Umenisaliti mkuu hiyo kampuni tutaijengaje mkuu?

Posted : September 27, 2024 8:01 am
Winga Mzoefu
(@winga-mzoefu)
Posts: 20
Topic starter
 
@sniper Mambo ya technology hainamambo ya  mali kauli bosi, bila kutoa unawezi usipate mkuu

Mini ni Winga wa online ukitaka kufanya kazi na mimi fanya hivi Post kile kitu unatafuta kisha nitakuunganisha na wauzaji. 💣 🍒 🍹 🍻

Posted : September 27, 2024 8:10 am
Winga Mzoefu
(@winga-mzoefu)
Posts: 20
Topic starter
 
@sniper Mambo ya technology hainamambo ya  mali kauli bosi, bila kutoa unawezi usipate mkuu hu ni ulimwengu mwingine.

Mini ni Winga wa online ukitaka kufanya kazi na mimi fanya hivi Post kile kitu unatafuta kisha nitakuunganisha na wauzaji. 💣 🍒 🍹 🍻

Posted : September 27, 2024 8:10 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
 
@winga-mzoefu Karibu  sana mteja wetu!

Nimeptia babdiko lako hapo juu nanikapitia kanunizote za platforms zote  unaweza kufanya kama utafuta mambo yafutayo:

  1. Unatakiwa ukubalina na mteja (yaani mtu aliepost Tangazo lake kwamba nahitaki kitu fulani akubali unfaniye huo uwinga)
  2. Akikubali ufanye nae kazi,nilazima kiasi cha malipo agency fee yako ijulikane
  3. Mkubaliane unalipwa kwanjia gani 
 
Posted : September 27, 2024 8:43 am
Winga Mzoefu
(@winga-mzoefu)
Posts: 20
Topic starter
 
@veronica-victor Asante sana naanda utaratibu sio mda mrefu nitakutagi boss wangu.

Mini ni Winga wa online ukitaka kufanya kazi na mimi fanya hivi Post kile kitu unatafuta kisha nitakuunganisha na wauzaji. 💣 🍒 🍹 🍻

Posted : September 27, 2024 8:45 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week. More Info.

(@savaly)
Posts: 24
0.000
 
@winga-mzoefu Mpya utawaua.

Posted : October 27, 2024 7:31 am
Winga Mzoefu
(@winga-mzoefu)
Posts: 20
Topic starter
 
Kuna baadhi ya watu wanatamani kufungua biashara hapa lakini wanashindwa kwasabu sio watumiaji sana wa mitandanda kama wewe ni moja wapo njoo tuonge biashara nikusaidia kufanya mambo yafutayo.

Kufungua account yako 5,000

Kupost biashara badala yako 10,000 kwa siku.

Kukutengezea Tangazo moja 20,000 

Mini ni Winga wa online ukitaka kufanya kazi na mimi fanya hivi Post kile kitu unatafuta kisha nitakuunganisha na wauzaji. 💣 🍒 🍹 🍻

Posted : October 27, 2024 5:08 pm
Kanavalo reacted
Winga Mzoefu
(@winga-mzoefu)
Posts: 20
Topic starter
 
image

Kuna baadhi ya watu wanatamani kufungua biashara hapa kwenye www.digxam iliwauze biashara zao lakini wanashindwa kwasabu sio watumiaji sana wa mitandanda kama wewe ni moja wapo njoo tuonge biashara nikusaidia kufanya mambo yafutayo.

  • Kukufungua account yako ni 5,000
  • Kupost biashara badala yako 10,000 kwa siku.
  • Kukutengezea Tangazo moja 20,000 
  • Fungua account hapa  sehemu ambako utauza biashara  zako haraka sana.
  • Nitakuchagulia Kifurushi kizuri kwa  10,000 tu.
  • Malipo utanilipa kupitia kwenye account yako baada ya kukamilisha usajili wa account yako.
  • Nicheki whatspp +27718219244 

Mini ni Winga wa online ukitaka kufanya kazi na mimi fanya hivi Post kile kitu unatafuta kisha nitakuunganisha na wauzaji. 💣 🍒 🍹 🍻

Posted : October 27, 2024 5:08 pm
Kanavalo and EmmyName reacted
(@abubakar-shenkome)
Posts: 1
0.000
 
Kama kuna mtu awezi fanya hizi hapa basi tutachelewa sana kufika 

Posted : October 27, 2024 5:08 pm
Kanavalo and EmmyName reacted
Innocent
(@innocent)
Posts: 47
Deposit 50,000
 
Posted by: @abubakar-shenkome

Kama kuna mtu awezi fanya hizi hapa basi tutachelewa sana kufika 

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 

Posted : October 27, 2024 5:08 pm
Innocent
(@innocent)
Posts: 47
Deposit 50,000
 
Mkuu hapa umelenga utawanasa wengi mno,wabongo wajanja mdomoni kutongoza nakutumia mitanda ya zamani kwasabu ukinunua simu inasajilwa kama line baada yapo akitaka wakija kitaa wanaongea sana sasa akitaka kuja  ni kipengele lazima uchukue elfu 5 yake.

Posted : October 27, 2024 5:08 pm
Kanavalo and EmmyName reacted

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

Kandida
(@kandida)
Posts: 23
0.000
 
@innocent 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

Posted : October 27, 2024 5:08 pm
 Nana
(@nana)
Posts: 15
0.000
 
Bongo hakuna jambo dogo kilakitu ni fursa jamanii 🤣 🤣 🤣 😆 😆 😆 😆 😆 🤗 

Posted : October 27, 2024 5:08 pm
Kanavalo and EmmyName reacted
(@emmyname)
Posts: 35
0.000
 
@winga-mzoefu Safi sana changakia fulasa.

Posted : October 27, 2024 5:08 pm
(@emmyname)
Posts: 35
0.000
 
@nana Kuelekeza mtu njia jero.

Posted : October 27, 2024 5:08 pm

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week. More Info.

Digxam

FREE
VIEW