Naomba kujua bei ya Pikipiki ya Vesper bei zake zinaendaje huko?
Vesper zipo bei yake kuanzia 6ml.
Nitumie picha nione.
Nakutumia soon naomba muda kidogo.