Notifications
Clear all

REPAIR USED ENGINE YA KOMATSU EXCAVETOR

6 Posts
2 Users
0 Reactions
56 Views
0
Topic starter

Nahitaji Engine ya Komatsu PC 300 used nitapata kwa bei gani?

Jonson John Jonson John October 21, 2024 4:37 am

Posted by: @uchebe

Nahitaji Engine ya Komatsu PC 300 used nitapata kwa bei gani?

Hii ya kutafuta,kama utaweza lipia kifurushi cha 200,000 tukutafutie Hii Engine.

 

0
Topic starter

Unaakika itapatikana nataka used sio mpya.

0

100% Utapata.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

0
Topic starter

Nitumie link 

Jonson John Jonson John October 21, 2024 4:50 am

Digxam

FREE
VIEW