Kama kuna mtu mwenye simu ya 10,000 naomba tuwasiliane.
Ikoje hiyo tuwekee hata kapicha tupate mwanga.
@mwanaisha Anatafuta matatizo utapawapi simu ya 10,000 hata kitochi sijui kama kinauzwa bei hiyo.
Nyie mnazo za bei gani?
😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆Β
Mini ni Winga wa online ukitaka kufanya kazi na mimi fanya hivi Post kile kitu unatafuta kisha nitakuunganisha na wauzaji. π£ π πΉ π»
Utapata kuwa mvumilivu ngoja waje.
Mini ni Winga wa online ukitaka kufanya kazi na mimi fanya hivi Post kile kitu unatafuta kisha nitakuunganisha na wauzaji. π£ π πΉ π»
Ukipata ni tag.
Matumizi mabaya ya bando i see!Β
Kama huna pita kushoto acha maneno mingi.
Unatafuta Simu gani?
Nicheki kupitia namba hii 0758 3942 12
Hii ni code kuisoma unatakiwa uwe D mbili.
@furaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Nyie wajinga sana akilize zenu mbovu sana duh. Nataka simu sio hizo vitu zenu mnawaza.
@ngaliba Simu ipo Dada yangu smartphone bado iko vizuri nicheke kwenye namba hii 0757 891 002
Unataka ya kichwa kibwa au kidogo?
Bado sijapata
Kama uko seriousΒ nikutafutie simu mzuri ya mtumba.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
Nimpya au used?
@ngaliba Mpya
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
Bei gani?
170,000 tu
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
Wewe ngoja nakucheki whatspp tuyajenge