Notifications
Clear all

KAMA UNATAKA KUJIAJIRI LAKINI UJUI BISHARA GANI NJOO HAPA NIKUPE MAWAZO BURE

1 Posts
1 Users
0 Reactions
180 Views
GP Logistics
(@gp-logistics)
Posts: 147
Seller
Topic starter
 

Kama kichwa cha habari kinavyo sema hapo juu.Nitajie mambo ya fuatayo niku mawazo

1.Mtaji wako kiasigani

2.Uko mkoa Gani

3.Umewai kufanya nini? 

 


 
Posted : October 16, 2024 6:22 am