Notifications
Clear all

GREETINGS! Naomba Ushauri wenu wapi ni nunue Gari kati ya nchi zifuatazo Tanzania ,Africa Kusini.Japan Duai wapi kwa uzoefu wako?

5 Posts
5 Users
0 Reactions
231 Views
 Rado
(@rado)
Posts: 7
Balance 0.000
Topic starter
 

Habari zenu wadau,swali langu ni fupi wapi kati ya hizo nchi nimezitaja hapo juu nikaagize Gari au kunua Gari,kama unauzoefu nambo ushauri wako.

 
Posted : October 16, 2024 3:59 am
GP Logistics
(@gp-logistics)
Posts: 137
Seller
 

Gari gani unataka kuagiza niku ushauri.

 
Posted : October 16, 2024 4:03 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 459
Seller
 

Tutajie bajet yako aina ya Gari unahitaji tutakushauri.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darโœ… Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.โœ…โœ…๐Ÿ‘๐Ÿ’ช๐Ÿ™๐Ÿฟ

 
Posted : October 16, 2024 4:07 am
Lucas
(@lucas)
Posts: 21
Buyer Car Dealers
 

Unataka aina gari ya Gari?

  • Truck
  • Gari Dogoย 
  • Basi

Unataka Gariย 

  • Jipyaย 
  • Mtumba?
 
Posted : October 16, 2024 4:17 am
(@makarius)
Posts: 5
Buyer Car Dealers
 

Kuna Magari yanapatika Japan ukiyatafuta South Afrika au Dubai upati pia kna Magari yanapatikana South Africa ukiyatafuta Dubai au Japan upati,ebu funguka unataka Gari gani?ย 

 
Posted : October 16, 2024 4:25 am

Digxam

FREE
VIEW