Notifications
Clear all

TIPS FOR CAR CHANGAMOTO WANAZOZIPITIA BAADHI YA WATU WANAOAGIZA MAGARI NJE YA DIGXAM.

4 Posts
5 Users
5 Reactions
167 Views
1
Topic starter
image

 

Kabala ya Gari Kuondoka Japan lazima mambo yafutayo yafanyike kwa wateja wetu Kupitia Digxam.

Tunaifanyia gari yako Engine Service ya kisasa kwatumia mashine za kisasa bure kabisa . Service hiyo ya engine inajumuisha mambo yafuatayo.

1. Tunakuwekea Oils na filters ambazo ni Genuin zilizotengenewa hapa Japan, Oil zinazotengenewa nje ya Japan nyingi  zinachangamoto kwenye  viwango zinachangia sana huharibu engine za magari ya watu.

2. Kupima na Kusafisha Nozzle na Spark plug kwa mashine ya Kisasa(Sonicator). Zikitoka hapa zinakuwa kama mpy,lakini tukikuta zimechoka tuzazibadilisha kabla ya kupaki Gari lako kwenye Meli.

3. Ukaguzi na Kusafisha EGR Valve kwa gari ambazo zina huo mfumo. Hii baada ya muda huwa inaziba na Gari inaanza kukosa nguvu kidogo kidogo milimani.

4. Kupima leakages kwenye mfumo wa hewa kwa mashine ya kisasa. Kabla ya kupakia Gari lako baada ya kulinunua Magari yote yenye  Engines kubwa ambazo zinakuwa na pipes nyingi za hewa. Leakage inachangia sana ulaji wa mafuta na kupunguza nguvu zake za awali.

5. Tutapima pressure ya mafuta kwenye fuel lines. Hapa tunaweza kujua kama kuna shida yoyote kwenye mfumo wa mafuta.

Hayo yote utayapata kwa  Digxam tu bure ,ukipelaka Gari lako kwenye ukaguzi gharama  kuanzia Tsh. 500,000/= mpaka Tsh. 1ml /= kulingana na aina ya gari(Complexity ya engine system). Kwa mteja wetu ni bure.


  1. Kusafisha Nozzle haitahusu engines ambazo zina Mfumo wa Direct injection.

 

  1. Zaidi ya hapo, pia utapata huduma ya jumla Gari zima Diagnosis na huduma zingine ya Gari kujua mifumo mingine ikoje nfano mifumo ya break nk.

 

8.Utapewa oil filters original kutoka Japan za kuanzia maisha,kama utahitaji pia spare parts mbalimbali kutoka Japan kwajili ya Gari lako utasema.

 

9.Utapewa oil original iliyotengenezwa na kampuny husika ya Gari utakaloliagiza kwajili ya kuanzia maisha.

 

10.Tutakubadilishia Matairi kabla ya kupakia Gari lako kama yatakuwa yamechoka.

 

11.Kama Gari lina Rims za bati pia tunakubadilishia nakuweka Rims sports


Note:

1.Hakikisha unashare na ku like page zetu kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwepo face book.

 

2.Share content zetu kwenye mitandao yote ya kijamii.

 

3.Jisajili leo kwenye palatorm yetu www.digxam.site

.

4 Answers
1

Asante kwa Taarifa.

1

Ngoja nizichange zikitimia nitawatafuta.

1

Kuna swali nataka kuliza

1

Hii huduma gharama zake ziko nje ya manunuzi?


Digxam

FREE
VIEW