Nashida na Toyota IST nitapa kwa bei gani?
Posted by: @irene ↑Nashida na Toyota IST nitapa kwa bei gani?
Sio new nataka ya zamani rangi ya yellow au pink
@irene Hizi Rangi unataka nikazi sana kupata, tunaomba utupe muda wa kutafuta kisha nitakujibu.
@ally-kanagawa Bei zake zikoje?
@irene Ngoja nipate hizo rangi nitakujibu.
@ally-kanagawa Sawa.