Notifications
Clear all

Na huu ndio ushauri wa picha nilio kuandalia leo,

2 Posts
2 Users
0 Reactions
89 Views
Jasusi Mweusi
(@jasusi-mweusi)
Posts: 42
Balance 0.000
Topic starter
 

 ukweli ni kwamba kwenye nia pana njia haijalishi uko wapi sasa, muhimu ni kuendelea kufanyia kazi ndoto zako hata kama uko na hali gani kwa sasa cha msingi ni kusonga mbele na kuto kukata tamaa. Labda siku moja tutakuja kuandika hapa kwa ugunduzi utakaoufanya.

 
Posted : September 26, 2024 4:01 pm
 Kada
(@kada)
Posts: 4
Balance 0.000
 

Tuanze na kwatu.

 
Posted : September 29, 2024 9:01 pm


Digxam

FREE
VIEW