Notifications
Clear all

SOLVED! iPad inahitajika haraka sana

11 Posts
6 Users
0 Reactions
280 Views
(@siawa)
Posts: 17
Deposit 50K
Topic starter
 
 
Kama unauza ipad za mtumba uko Dar naomba uweke picha na bei hapa.
 

 
Posted : September 27, 2024 6:23 am
Jasusi Mweusi
(@jasusi-mweusi)
Posts: 44
Available 20K
 

Unataka yoyote?


 
Posted : September 27, 2024 6:40 am
Jasusi Mweusi
(@jasusi-mweusi)
Posts: 44
Available 20K
 

Hivi nikifanya kazi yaku winga hapa sinapata pesa.


 
Posted : September 27, 2024 6:42 am
(@yusuphmkubwa)
Posts: 2
Balance 0.000
 

Zip nicheki 0777238089

IMG 20240927 WA0056
IMG 20240927 WA0055
IMG 20240927 WA0057
IMG 20240923 WA0001

 


 
Posted : September 27, 2024 6:53 am
(@siawa)
Posts: 17
Deposit 50K
Topic starter
 

@yusuphmkubwa Habari  bosi Naweza kupata maeleizo kidogo ya Hii ipad,Mimi niko Ngara Kagera nahitaji hii ipad naomba tuangalie terms za biashara,napenda kutumia hii platform kwasabu ya iko secured na scammers wa online hivyo naomba mambo ya kutanguliza namba badala ya makubalino sio utamaduni wa hii platform.

2.Lazima useme hapa kwenye page kama mzina au inatatizo kilakitu lazima tukiweka hapa wazi ili ikitokea tatizo nakuripot hapa 3.Tukisha kubalina  pesa sitakulipa wewe bali nitawalipa hawa Digxam wao watakulia wewe kama utaratibu ulivyo nadhani kwanza  tukubaliane katika hilo.


 
Posted : September 27, 2024 7:52 am

Winga Mzoefu
(@winga-mzoefu)
Posts: 23
Service Provider
 

@siawa Naomba muafikiane kila mtu kila upande ulidhike biashara ifanyike kilamtu afurahi na mimi pia nitafurahi 😎 😎 😎 😎 😎 😎 😎


Mini ni Winga wa online ukitaka kufanya kazi na mimi fanya hivi Post kile kitu unatafuta kisha nitakuunganisha na wauzaji. 💣 🍒 🍹 🍻

 
Posted : September 27, 2024 8:15 am
Kandida
(@kandida)
Posts: 25
Available 20K
 

@yusuphmkubwa Bei gani boss?


 
Posted : September 27, 2024 9:33 am
(@yusuphmkubwa)
Posts: 2
Balance 0.000
 

@kandida 580,000


 
Posted : September 27, 2024 10:45 am
Kandida
(@kandida)
Posts: 25
Available 20K
 

@yusuphmkubwa Maelezo yako sidhani kama yanajitosheleza Ningependa kujua kama ni mpya au ni used kama ni used imetumika ulaya au hapa nchini na kama ni mpya imetenegezwa wapi na condition yake kwa ujumla.

Terms zako za mauzo zikoje unauza kwa utaratibu hupi huu  ulipo hapa jukwaani au unauza kwa utaratibu wako wa mtu anakupigia simu anakutumia hela kwenye simu yako unamtumia au unatumia utaratibu Digxam walijiweke kwenye kanunuzao?

 


 
Posted : September 27, 2024 11:08 am
(@siawa)
Posts: 17
Deposit 50K
Topic starter
 

Ndugu yetu kunakitu bado kinamchanganya biashara za kutuma hela kwenye simu kwa mtu nisiemjua zimepitwa na wakati kama uwezi kutoa malezo ya kile unachokiuza  kwaufasaha mteja akaelewa nakufanya maamuzi basi naweza kusema wewe sio muuzaji pili unatakiwa upitie kanunu za jukwa hili,hapa sio kama mnavyaouziana vitu kwenye huko kwenye mitandao ya kijamii, hapa kuna taratibu ambazo zinatushawishi kutumia website hii kununua vitu mbalimbali mtandao ambazo naamini umezipitia umezisoma na kuzielewa kabala ya kujisajili,kama uko serious unauza hiyo iPad naomba ufunguke.


 
Posted : September 27, 2024 11:19 am

 

Share Pages on Social Media to Get a Free Phone .

Make Sure You are Registered On The Website,Subscribe to New Topics, Share Our Pages on Social Networks.

.

(@karuta)
Posts: 27
2.ml Balance
 

@siawa Uki invite wauzaji kutoka kwenye mitandao ya kijamii ukawaleta hapa watakimbia kwasababu biashara za mitandaoni nyingi yakufikirika, ndio maaana nilikimbia huko.

 

Kunasikuna siku nikuwa nahitaji PC nikakutana na mtu moja anauza mtandaoni nikamwambia nahitaji kasema nitumie hela nikutumie nikamwambia njoo hapa tufanye biashara nikamtumia link hii nikamwambia maka kweli unako serious akaja akaweka picha na namba ya simu kama huyu alivyofanya nikamwambia nakulipa kupitia  Digxam wao watakutafuta wachukue PC yangu wakulipe hela yako jamaa alimi chukuia na kusonya kisha akala mbele hadi leo na  block akinicha kwenye whatspp 🤣 🤣 🤣 


 
Posted : September 27, 2024 12:38 pm