Notifications
Clear all

3. Larry Page na Sergey Brin Waanzilishi wa Google

1 Posts
1 Users
0 Reactions
56 Views
Jasusi Mweusi
(@jasusi-mweusi)
Posts: 42
0.000
Topic starter
 

3. Larry Page na Sergey Brin Waanzilishi wa Google

 

Larry Page na Sergey Brin wanzilishi wa kampuni na tovuti ya Google ambayo sasa inamiliki mitandao inayo tengeneza pesa kila siku. Picha hapo juu ni wakati wakiwa wanafanyia kazi tovuti ya Google. Larry Page na Sergey walikutana chuoni stanford na wazo la Google ndilo liliwaunganisha na kuwa marafiki. Kwa sasa Larry page ana utajiri wa zaidi ya dollar za marekani bilioni $51.7 na Sergey Brin anautajiri wa dollar za marekani bilioni $50.3.

image
 
Posted : September 26, 2024 3:48 pm

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week. More Info.


Digxam

FREE
VIEW