Notifications
Clear all

Registered Users Only NAHITAJI VIFAA VYA SALOON YA KIUME

8 Posts
3 Users
0 Reactions
78 Views
0
Topic starter

Habari wadau!

 

Hii mala yangu ya kwanza kutumia hili jukwaa la uagizaji ya bidhaa mbalimbali mtandaoni,shida yangu ni vifaa vya saloon ya kiume yenye adhi ya kila kichwa kunyoa kuanzia 10,000 vipi naweza kupata mtu huko Karikoo akinitumia bei ya vifaa vyote na jumla ya ghrama za manunu?

 

Niko Kativi.

8 Answers
0

Watu wengi wanaulizia hawako serious ukimtumia  bei ukimpa list anapotea   kwakifu inabidi ulipia angala kifurishi cha bei rahisi niweze kukuamini au nitume hella nikungalizie bei za vitu vyote.

0
Topic starter

Tafuta bei kama bei ni mzuri tufanye biashara acha woga babu kwani bei gani kunitafutia bei kilakitu nione kama nitakupaza kidogo nauli.

0

30k inanitosha.

0
Topic starter

Tafuta bei kwanza acha kucheza na maneno

0

Ngoja nakutumia bei nikifika home,juzi kuna mtu nimemtafutia bei nikafanyanae biashara 

 

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

 

0
Topic starter

 sawa boss nakungoja.

0
image
image
0
Polish 20240923 064110586

Digxam

FREE
VIEW