Iwe na lamu 8 Gb 128
Utaka simu ktoka South Africa , Kariakoo au Japan?
Unataka iphone numba ngapi?
Karikoo niko hapa.
Simu umepata bosi?
Mini ni Winga wa online ukitaka kufanya kazi na mimi fanya hivi Post kile kitu unatafuta kisha nitakuunganisha na wauzaji. đŁ đ đš đť