Notifications
Clear all

RAFIKI. Niko Single nahitaji Mchumba.

27 Posts
6 Users
6 Reactions
222 Views
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

Habari Guys!

 

Nimekuwa nikipokea jumbe nyingi sana kwanjia ya private MSG watu wakitaka tuwe na mausiano ya kimapenzi  baadhi wakitaka tuwe wachumba na wengine akitaka kunioa wengine wakitaka tutoke wote out na mambo kama haya  mimi siwapingi  anyway sio jambo baya ni nfumo wa maisha uko hivyo  kwanza niwashukuru sana kwakunipenda asanteni na mimi nawapenda pia,kama unataka chochote namba ya simu kilakitu njoo hapa nitakupa.

 

Kwakifupi bado niko single kama wewe unayenitumia meseji za  mapenzi usoma ujumbe huu sio mbaya ukaja hapa ukanimbia unatakaje kama unataka kunioa au unataka uchumba auna mausiano vyovyote njoo hapa umwage sera zako hapo kisha mimi nitawasikiliza kisha nitachagua moja,lakini ukitumia ujumbe wa privete plaase sitakujibu kwasabu utakauwa unatumia platform amabya sio sahii hapa ndio seheme ya wanaume wote mnaonitaka mkamwage sere zenu niwasikilize sinashida na mchumba mwenye mali pesa sijui vitugani Elimu hapana nahitaji mchumba anajue kujieleza vizuri tu.

 

Kule kwenye mitandao ya kijamii nikwajili ya hii kazi zangu zinazoniweka  mjini please naomba usichanganye haya mambo kama unahitaji huduma yoyote kuhusu online business kama kuuza bidhaa zako kupitia kwenye platform zetu au kama unataka kujua bei ya matangazo ya biashara na huduma zote tunazozitoa  unaweza kutuma private msg, kama ni mambo ya mapenzi njoo hapa niambie nitakujibu asante sana.

image

 

 
Posted : August 23, 2024 7:11 am
Jayleen
(@jayleen)
Posts: 14
Customer Seller
 

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 nimecheka sana ila wewe ni chizi khaaa.

 
Posted : August 23, 2024 7:34 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

@jayleen Uchizi wangu  ni nini au ujui  thamini ya mwanamke kuolewa eeh ayayaah kuolewa nitarudi nyumbani kutembea shida nini hapo.

 
Posted : August 23, 2024 7:37 am
Jayleen
(@jayleen)
Posts: 14
Customer Seller
 

Yaani full vibes 

 
Posted : August 23, 2024 7:39 am
(@full-dose)
Posts: 13
Balance 0.000
 

Nakupenda Vero hadi naumwa natamani unikubalie niwe mpenzi wako yaani.

 
Posted : August 23, 2024 11:26 am

Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

@full-dose Bado hujasema ebu panga mistari yako vizuri nakusikiliza niko hapa.

 
Posted : August 23, 2024 11:29 am
(@full-dose)
Posts: 13
Balance 0.000
 

@veronica-victor Vero unanitesa sanaa kipenzi changu.

 
Posted : August 23, 2024 11:30 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

@full-dose Kivipi?

 
Posted : August 23, 2024 11:42 am
(@full-dose)
Posts: 13
Balance 0.000
 

@veronica-victor Ni hayo tu,nimetoa ya kumoyo niko huru kazi kwako

 
Posted : August 23, 2024 12:00 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

@full-dose Sawa nimekusikia ngoja nilinganishe mistri yako na wachumba wengine ili nipate the best choice kwakifupi jimbo liko wazi kama kunamtu analitaka achukue form twende kwenye mchujo.

 
Posted : August 23, 2024 12:06 pm

SHINDA 50K KWAKUWA NA POSTS,LIKES PAMOJA NA VIEWS KWENYE CONTENT ZAKO .

Maelezo Zaidi Bonyeza Hapo Chini.

Jayleen
(@jayleen)
Posts: 14
Customer Seller
 

Haya kazi Kwenu wototo wa kiume mzigo uko mezani unatafuta mwenza ushindwe mwenyewe kumwaga sera. 🤩 

 
Posted : August 23, 2024 12:10 pm
Suzani
(@suzani)
Posts: 18
Balance 0.000
 

Halooooh mimi napita nasoma comments huku nakula chips zangu  🍟 

 
Posted : August 23, 2024 12:14 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

@jayleen Ngoja niingie live niwachee Comasava wachangamke .

 
Posted : August 23, 2024 12:25 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

@suzani 😊 😊 😊 Naomba chipzii na kidogo namie nichangamshe tumbo.

 
Posted : August 23, 2024 12:27 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

Jamani wachumba mkuje huku nawangojea mwezio najua kupika najua kufua najua kuimba na kucheza Comasava atakaye bahati atapata wife material, hii nafi sio ya kukosa. 

 
Posted : August 23, 2024 12:31 pm
Ngaliba reacted

TANGAZA BIASHARA YAKO BURE UPATA VIERS 10K KWA WEEK .

Leta Biashara Yako Tukutangazie Bure.

Tuambie Unauza Biashara Gani Au Unatoa Huduma Gani na Unapatikana sehem Gani.

Baada ya Kujisaji Fungua Page Kisha comment hapo chini .

Ngaliba
(@ngaliba)
Posts: 39
Available 100,000
 

@veronica-victor Ukosawa mrembo nakuhitaji sana uwe mke wangu watatu umeniteka moyo wangu cc@kabandwa

 
Posted : August 23, 2024 12:38 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

@ngaliba Hii mistari nimeipenda sana ongeza kidogo urefu wa mistari nakusikiliza niko tayari kuwa mke wako wa nne    kwangu sio tatizo kikubwa mitrari yako ipange vizuri  iniingie oneza bidii kidogo.

 
Posted : August 23, 2024 12:44 pm
Ngaliba reacted
Ngaliba
(@ngaliba)
Posts: 39
Available 100,000
 

@veronica-victor Nipe simu kilakitu nitakutumia kwenye simu.

 
Posted : August 23, 2024 12:46 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

@ngaliba Simu inatoka kwa mshindi baada ya kumaliza zoezi la kupiga kura nakukabidhiwa jimbo lako.

 
Posted : August 23, 2024 12:48 pm
Ngaliba
(@ngaliba)
Posts: 39
Available 100,000
 

@veronica-victor Mbona mtihani huu jamani?

 
Posted : August 23, 2024 12:50 pm

TANGAZA NA KUUZA BIASHARA ZAKO KWA NJIA YA MNADA WA KIDIGITAL .

Kwa 10,000 Unashiriki Minada Kwamuda wa Mwaka Mzima.

Shiriki Mnada Ujipatie Bidhaa Kwa Bei Nafuu Sana.

Lucas
(@lucas)
Posts: 21
Buyer Car Dealers
 

Vero umefanya vizuri sana kufungua huu mjadala kwasababu nilikua naumia sana nikikutuma meseji zangu hujibu unapoteza binafsi nakupenda sana najiamini popote nitakueleza ukweli wangu bila kujali ni wapi.

 
Posted : August 23, 2024 1:03 pm
Lucas
(@lucas)
Posts: 21
Buyer Car Dealers
 

Vero umefanya vizuri sana kufungua huu mjadala kwasababu nilikua naumia sana nikikutuma meseji zangu hujibu unapoteza binafsi nakupenda sana najiamini popote nitakueleza ukweli wangu bila kujali ni wapi.

 
Posted : August 23, 2024 1:04 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

@lucas Hata wewe?

 
Posted : August 23, 2024 1:07 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

@lucas Anyway bodo hujasema unapenda nini?

 
Posted : August 23, 2024 1:08 pm
Lucas
(@lucas)
Posts: 21
Buyer Car Dealers
 

@veronica-victor kwani mm Nanini?

Niliomba nafasi ya kwenda Vacation SouthAfrica nikaambiwa kumejaa nilitaka kutumia nafasi hii kupenyeza application zangu?

 
Posted : August 23, 2024 1:46 pm

Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

@lucas 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 We kiboko ulichelewa nafasi zilitangazwa muda,ungenikuta nishafika hapa nawangojea watu waliochaguliwa tukutane hapa tufarahi na Digxam.

 
Posted : August 23, 2024 1:54 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

Nashukuru Mungu nimefika Salama home

9274C429 4758 4DE7 998B 65DF04EB3CCD

 

 
Posted : August 24, 2024 11:24 am


Digxam

FREE
VIEW