Habari za asubuhi ndugu zangu!
Kama unakituchochote ambacho huna kazi nacho nfano
chochote naomba ukipige picha vizuri tuwekee hapa chini kwenye uzi huu tumbambia uko mkoa gani au sehemu gani.
Pia kama kuna mtu mwenye kuhitaji baada ya watu kupost hivyo vitu basi comments chini ya hicho kitu mwambia unashida nacho,kutoa ni moyo sio utajiri.
Asante sana.
Mimi na mtungi kwa KG 15 wa ORYX sina kazi nao kama kuna mtu anautaka tuwasilie.
Na wifi ya smile situmii muda ila ni nzima kama kuna mtu anahitaji tuwasiliane.
Kutoa ni moyo sio utajiri,kuna watu wana vitu vingi sana wengine wanavichoma moto bora kuvigawa kwa watu wenye uhitaji Mungu atawabariki.@Jonson-john
Chochote tunachukua bandugu tuka hapa Moro.
Kuna vitu vingi sana nikipata muda nitavipiga picha na kuviweka hapa, asante sana @admin kwakuliona hili.Kutoa ni moyo sio utajiri,kuna watu wana vitu vingi sana wengine wanavichoma moto bora kuvigawa kwa watu wenye uhitaji Mungu atawabariki.@Jonson-john
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Naamini watu watoa nikitenda cha muda.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Kama kuna mtu mwenye kifaa chochote cha Epson tag niko hapa.✅🇯🇵🙏🏿💪🙌🏿🙌🏿🙅🏿
Niko kimara Suka tunafanye nitumie namba nitakucheki.
Safi sana
@allan-jackson Tayari nimempa namba yako atakupigia mkawasiliane.
Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link
Huu uzi ni meulewa sana jamani ni muhimu sana.