Naomba kujua
nfano tin namba ikitofautiana na majina na namba ya usajili nitapa hii duma?
swali langu la pili kuna gharama?
I mean majina ya usajili wa line na tin number sorry nadhani swali langu umenielewa.
@sniper Majina ya TIN na usajili wa line yako yasipishane hata herufi moja.