Hii page inahusu wenyeji wa Mkoa Kagera tu.
Jitambulishe kwa lugha zinazotumika mkoani Kagera kisha twendelee.
Kwajina naitwa kabunda mwingusi,omuka ni Kagya Bugabo.
kuna hii habari ina trend kwenye magroup ya whatspp sijui kama inaukweli wowote
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba kuna mlipuko wa kipindu pindu kwenye maeneo yetu ya Bugabo. Ni muhimu kuchukua tahadhari kubwa kuepuka kula hovyo vyakula ambavyo hujui maandalizi na utunzwaji wake, kula na Kunywa vyakula na vitu vya moto siyo viporo, Oga kwa kutumia maji safi na salama siyo maji ya madimbwi.
Acha kusalimiana kwa mikono maana ugonjwa huu unaambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.
Waelimishe watoto waache kula hovyo na kwa sasa kuepuka kutembelea baadhi ya maeneo yenye mkusanyiko wa watu wengi kama mwaloni ambako huko hali siyo nzuri.
Watu wachimbe mashimo marefu ya vyoo na vifunikwe.
kipindupindu usababishwa na uchafu na kuchochewa na miundo mbinu duni ya mazingira hasa maji taka.
Kipindupindu kinaua kwa haraka na hakibagui lakini mgonjwa au mwenye dalili za kipindupindu kama kuharisha, kutapika, tumbo kuuma na mwili kuishiwa nguvu apelekwe hospitali haraka kwa uchunguzi na matibabu.
Tuongee na ndugu zetu huko vijijini pamoja na kuwashauri viongozi namna ya kuboresha na kusimamia swala zima la usafi wa mazingira.
Watu watoke kwenye vyanzo vya maji mita sitini kama zamani ilivyo kuwa. Sasa hivi wanajenga humo na wengine wanafugia humo na kutiririsha uchafu kwenye maji ambayo yanatumiwa na binadamu.
Tusichoke kutoa elimu kwa jamii na mtu mmoja mmoja.
@kabundamwigusi wakola Munonga inye owaitu ni Nyanga omwata Tasalapioni ambangi mbamumanya omzee ni maarufu sana.karibu naishi kibada Kigambini.
Tulimu bangi twemanye choka,muntwekele akamwani tikalumusha,owaitu ni Ibosa.
munyegele munonga.
Chonka iwe nasheaka🤣🤣🤣🤣🤣nguu kyajwala kyalinga Ekikunila kyagya omwamananka chonka kyamukalaki eyoooh! 🤫🤫🤫🤫🤫kyamukole elabaa choka Saida ebingambo kabiayaa?
Mwakola muno abamuko,owaitu ni Katoma kagege,mtula kunu omahanga Zanzibar ni nana Ebilo bingi kunu,mwasheza chonka,nibanyeza mwije kunkyalila kunu.
@kandida Nakoma byalagala nalya na lyomugushu,neyembe ti yembe ekikunila kyamalila abana leka 🤣🤣🤣🤣🤣.
Wahaya 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿.
@kashangaki Napenda sana huu wimbo japokua sielewini content yake nini naomba mtusaidie tafusri kwa kiswahili au kingereza.
wakola owatata kumbe mulimu.
Hii page inahusu wenyeji wa Mkoa Kagera tu.
Jitambulishe kwa lugha zinazotumika mkoani Kagera kisha twendelee.
Akabala kange banyeta Kagandaza,omuka ni kibeta kalabagaine,nimbasiima muno mwakola abomuka munyegele Kibeta.
Mwakola.
Safi sana Watani zangu.