Habari za leo
Nashida ya Oil Orginal kutoka Japan namba 10W-30 20l naipata kwa bei gani?
Hipo hii Idemitsu pia.
Pia na hii zite ni 20l
@admin nadhani Idemitsu itakuwa mzuri sana bei gani hadi dar?
200,000 Tsh.
Kwa 10,000 Unashiriki Minada Kwamuda wa Mwaka Mzima.
Shiriki Mnada Ujipatie Bidhaa Kwa Bei Nafuu Sana.
Click Here!