Notifications
Clear all

Made in Japan Heavy Printer Inahitajika Haraka

7 Posts
4 Users
3 Reactions
150 Views
(@bahari-pharmacy)
Posts: 3
Balance 0.000
Topic starter
 

Habari ndugu zangu,Natafuta printer kubwa.

  • iwe mpya
  • wi-fi
  • 220v

Naomba bei.

 
Posted : June 20, 2024 5:17 pm
Savaly reacted
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 450
Karibu! Seller
 

Posted by: @bahari-pharmacy

Habari ndugu zangu,Natafuta printer kubwa.

  • iwe mpya
  • wi-fi
  • 220v

Naomba bei.

Naomba jaza hii form nitakutumia picha kila kitu na bei zake.

 

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

 
Posted : June 21, 2024 4:30 am
(@bahari-pharmacy)
Posts: 3
Balance 0.000
Topic starter
 

Tayari nimejaza.

 
Posted : June 21, 2024 4:33 am
Savaly reacted
(@marius-julius)
Posts: 6
Balance 0.000
 

Habari wapendwa

 
Posted : September 19, 2024 6:20 pm
Savaly reacted
(@savaly)
Posts: 24
Balance 0.000
 

@bahari-pharmacy Vipi umepata?

 
Posted : October 27, 2024 8:24 am

SHINDA 50K KWAKUWA NA POSTS,LIKES PAMOJA NA VIEWS KWENYE CONTENT ZAKO .

Maelezo Zaidi Bonyeza Hapo Chini.

(@savaly)
Posts: 24
Balance 0.000
 

@bahari-pharmacy Nini?

 
Posted : October 27, 2024 8:24 am
(@savaly)
Posts: 24
Balance 0.000
 

@marius-julius Mzuri

 
Posted : October 27, 2024 8:25 am


Digxam

FREE
VIEW