Notifications
Clear all

Dresses Code Sinza Dresses Mzuri Sana.

7 Posts
8 Users
1 Reactions
240 Views
1
Topic starter
  • Dress ni nzuri sana kutoka Uturuki.
  • Bei ya jumla ni dola 45 kwa moja, unatakiwa kuagiza pcs 4 au zaidi 
7 Answers
0

Hii Dola 45 sawa na shilling na inachukua muda gani?

0

Nguo ni mzuri sana,Niko Mwanza nataka nikupe kazi na soko languo hapa.

0

Ungeweka na picha kabisa na kama unanguo tofauti weka tuchague.

0

Hii Nguo ni mzuri sana hii Nguo uko wapi sasa hapa au Uturuki? Niko 

0

Uko Uturuki au Ukowapi nikitaka kuagiza nikituma pesa kwenye hii campany ya Digxam utakunali wakulipe?

 

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

 

0

Vipi kuhusu Nguo za watoto? Mambo.

 

0

Sinza sehemu gani?


Digxam

FREE
VIEW