Naomba bei ya Generator la kva 35 la used Japan litanikosti bei gani?
25ml used Japan,ukita kujua bei ya used bongo au SouthAfrica inaweza kupost kwenye majukwa husika.
Hivi ni kweri KVA 35 inaweza kutosha kuwasha kituo cha mafuta?
@donatha-mshamba siwezi kujua mimi sio fundi umeme,mtafute fundi umeme mulize akupimia atakuwambia ni KVA ngapi zinatakiwa
Ok
Nfano hii Generata naipataje kwa hii membership nikilipia?
Mimi nashida na Generato ndogo ya diesl isidizi KVA 10 bei gani?
@admin naomba kujibiwa maswali yangu.
Anzisha Thread mpya ya kwako usitume request juu ya request tutashindwa kuwahudumia.Mimi nashida na Generato ndogo ya diesl isidizi KVA 10 bei gani?