Nataka nitumia hii platform kufanya kazi zangu pia .
Nahitaji Room invisible kwa public except watu wangu (subscribers) tu watakaonilipa kwajili ya kupata huduma zangu ,nahitaji full access kama kuweka nakuta members , mtanichaji bei gani kwa mwaka, tunaweza kuonge private niwape kazi. @admin