UKURASA MAALUM WA S...
 
Notifications
Clear all

PATA OFFA! UKURASA MAALUM WA SERENGETI LAGER

38 Posts
21 Users
21 Reactions
542 Views
Serengeti Premium Lager
(@serengeti-premium-lager)
Posts: 8
0.000 Pay Cash
Topic starter
 

 

Leo tumekuletea ofaa ya kunywa bia tatu za Serengeti  Lager tukulipie bili yako kwanjia ya lipa kwa simu.

  • Weka video hapa ukifunguliwa kizibo cha Serengeti. 
  • Share kwenye mitandao ya kijamii. 
  • Weka video na picha.
  • Weka lipa namba ya muuzaji wa Bia tufanye muamala.

 

Usishiriki na waliochini ya miaka 18.Vigezo na masharti kuzingatiwa.

 

  •  
image

 
Posted : May 30, 2024 6:29 am
Geofy Muhagama A, Makoroboi, Lucas and 7 people reacted
(@karama)
Posts: 12
100K Trade Bond
 

Nitumie SERENGETI RAGER moja nizimue i see kichwa kizitu asabuhi hii.


 
Posted : May 30, 2024 7:29 am
Innocent
(@innocent)
Posts: 49
200K Trade Bond
 

Mkuu umefika muda muafaka leta vitu tumwagile moyo.


 
Posted : May 30, 2024 7:34 am
Zulu
 Zulu
(@zulu)
Posts: 30
0.000 Pay Cash
 

cc@kabandwa


 
Posted : May 30, 2024 7:38 am
(@kabandwa)
Posts: 43
30K Trade Bond
 

@zulu Mhh mbona kama parodi hili chief?


 
Posted : May 30, 2024 7:42 am

Zulu
 Zulu
(@zulu)
Posts: 30
0.000 Pay Cash
 

@kabandwa Atajua mwenyewe mimi nachotaka ni kulewa mengine sijui.


 
Posted : May 30, 2024 7:59 am
Mzawa
(@mzawa)
Posts: 18
50K Pay Cash
 

Shikamoo Parodi 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿


 
Posted : May 30, 2024 8:04 am
Kaganda
(@kaganda)
Posts: 50
100K Trade Bond
 

Asikuwambie mtu bia tamu.


 
Posted : May 30, 2024 8:07 am
Malingumu
(@malingumu)
Posts: 51
50K Pay Cash
 

@kaganda 😹😹😹🙌🏿🙌🏿


 
Posted : May 30, 2024 8:14 am
 Azan
(@azan)
Posts: 6
1k Pay Cash
 

Hili chama la wana 🍻 🍺 🥂 


 
Posted : May 30, 2024 8:24 am

exp

Lucas
(@lucas)
Posts: 22
25M Trade Bond
 

🤓 🤓 🤓 🤓 


 
Posted : May 30, 2024 8:28 am
Serengeti Premium Lager
(@serengeti-premium-lager)
Posts: 8
0.000 Pay Cash
Topic starter
 

Kwanywa Serengeti Ranger 3 kila mtu  popote ulipo kisha nitumie Lipa kwa simu nimalizane na waiter Asanteni sana.


 
Posted : May 30, 2024 8:34 am
Faraja
(@faraja)
Posts: 28
0.000 Pay Cash
 

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 


 
Posted : May 30, 2024 8:37 am
(@neema)
Posts: 32
20K PAY Cash
 

Hii ngoja na share kwenye Group letu whatspp 😜 😜 😜 😜 😜 la mojoa moto moja baridi watu watavunjika mbavu. 🍺 


 
Posted : May 30, 2024 8:44 am
(@makoroboi)
Posts: 7
0.000 Pay Cash
 

Hivi shule zinafungwa lini haya mambo tuliya miss sana hapa jamvini. 😎 😎 


 
Posted : May 30, 2024 8:48 am

corretion

Geofy Muhagama A
(@geofy-muhagama-a)
Posts: 13
20K Trade Bond
 

Ngoja nipige kambi hapa mlangoni baa, sijui kwanini leo wechelewa kufungua wakiti kila siku wanafungua mapema!


 
Posted : May 30, 2024 8:55 am
Serengeti Premium Lager
(@serengeti-premium-lager)
Posts: 8
0.000 Pay Cash
Topic starter
 

Lazima uwe na miaka 18,vigezo na masharti kuzingatiwa.


 
Posted : May 30, 2024 8:59 am
Allan Madenge
(@allan-madenge)
Posts: 22
20K Trade Bond
 

🤪 🤪 🤪 🤪 🤪 🤪 🤪 🤪 


 
Posted : May 30, 2024 9:06 am
Allan Madenge
(@allan-madenge)
Posts: 22
20K Trade Bond
 

@serengeti-premium-lager Nimecha kifala sana hadi kila mtu kanishangaa kwenye daladala.


 
Posted : May 30, 2024 9:07 am
Allan Madenge
(@allan-madenge)
Posts: 22
20K Trade Bond
 

@geofy-muhagama-a Wamejuaje kama leo kuna offa?


 
Posted : May 30, 2024 9:09 am

Allan Madenge
(@allan-madenge)
Posts: 22
20K Trade Bond
 

@mzawa 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆


 
Posted : May 30, 2024 9:10 am
Suzani
(@suzani)
Posts: 20
0.000 Pay Cash
 

Hakuna hata mtu moja yuko Baa atubwagie  screenshot ya muamala ambo tayari umeti tuone. 


 
Posted : May 30, 2024 9:15 am
Suzani
(@suzani)
Posts: 20
0.000 Pay Cash
 

Ukiijichanganye imekula kwako,hapa ni mwenda wa Paradi kama wangekuwa Serengeti wangekua mark ya Seller hapo juu. 


 
Posted : May 30, 2024 9:25 am
Omega
(@omega)
Posts: 45
40K Trade Bond
 

@suzani Anza wewe mbona unatanguliza wenzako 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤗 🤗


 
Posted : May 30, 2024 9:34 am
Omega
(@omega)
Posts: 45
40K Trade Bond
 

I la hii mitandao ukiwa na strasi umezitaka mwenyewe.


 
Posted : May 30, 2024 9:35 am

Serengeti Premium Lager
(@serengeti-premium-lager)
Posts: 8
0.000 Pay Cash
Topic starter
 

Watu wote  kwa umoja wetu  kwa wingi wetu basi naomba like yako,naomba share hii offa kwenye mitandao yote ya kijamii kisha twendelee kungoja moja moto moja bari ya Serengeti Lager tu kisha tuma lipa namba kwenye account hii.


 
Posted : May 30, 2024 9:45 am
(@kidali)
Posts: 16
1k Pay Cash
 

Kjua ukweli inabidi mtu moja ajilipue angonge hizo bia utupe mrejesho .


 
Posted : May 30, 2024 10:06 am
(@daniel-matthew)
Posts: 35
50K Pay Cash
 

Haloooo!


 
Posted : May 30, 2024 10:12 am
(@zakayo)
Posts: 10
0.000 Pay Cash
 

M-Pesa 886018 hii hapa. nimegonga tatu fasta.


 
Posted : May 30, 2024 10:19 am
Serengeti Premium Lager
(@serengeti-premium-lager)
Posts: 8
0.000 Pay Cash
Topic starter
 
  • Weka video hapa ukifunguliwa kizibo cha Serengeti. 
  • Share kwenye mitandao ya kijamii. 
  • Weka video na picha.
  • Weka lipa namba ya muuzaji wa Bia tufanye muamala.

 


 
Posted : May 30, 2024 10:23 am

exp

(@zakayo)
Posts: 10
0.000 Pay Cash
 

@serengeti-premium-lager Ngoja kidogo nakutumia.


 
Posted : May 30, 2024 10:26 am
(@zakayo)
Posts: 10
0.000 Pay Cash
 
0949F46F F03A 4CF9 BE5F 2BA70DA08C1A
30774127 112A 46C6 A192 A8FEDB320B22
A8EDFCCD CDD6 4BE1 A4D1 CD5D25C2FB41

 
Posted : May 30, 2024 10:57 am
(@zakayo)
Posts: 10
0.000 Pay Cash
 

Mkuu hizo hapo 


 
Posted : May 30, 2024 10:58 am
Omega
(@omega)
Posts: 45
40K Trade Bond
 

@zakayo akirudi nitag Niko hapa😹😹😹😹😹


 
Posted : May 30, 2024 11:04 am
(@kabandwa)
Posts: 43
30K Trade Bond
 

Tunaomba mrejesho tuko baa tayari!


 
Posted : May 30, 2024 11:13 am

corretion

Faraja
(@faraja)
Posts: 28
0.000 Pay Cash
 

Imetoka hiyo mkuu.


 
Posted : May 30, 2024 12:00 pm
(@father-house)
Posts: 22
0.000 Pay Cash
 

Ngoja tuone.


 
Posted : May 30, 2024 2:19 pm
Serengeti Premium Lager
(@serengeti-premium-lager)
Posts: 8
0.000 Pay Cash
Topic starter
 

Posted by: @zakayo

-- attachment is not available --
-- attachment is not available --
-- attachment is not available --
Hii ni bea moja picha tatu nimesema vigezo na marti kuzingatiwa nikuwa naimanisha.

 


 
Posted : June 3, 2024 8:28 pm