Notifications
Clear all

Digxam [Solved] AGIZA GARI KWAKUTUMIA MEMBERSHIP YAKO.

20 Posts
10 Users
9 Reactions
596 Views
7
Topic starter

 

image

 

 

 

Sasa unaweza kuagiza Gari kwakutumia Membership yako ya bila kikomo  bila kutoa pesa  hadi utakapo pewa  Gari lako.Hii ni huma mpaya kwa wateja wetu wote wenye vifurushi vya Unlimited tu .

Baadhi ya Nchi ambazo unaweza kuagiza Gari bila kutanguliza kiasi chochote cha pesa kwakutumia kifurushi chako cha membership cha unlimited  cha mwaka nika zifuatazo.

  • Japan
  • South Africa
  • Mikoani -Dar Es Salaam

MASHART YA HUDUMA HII .

  • Hakikisha unafurushika cha unlimited
  • Hakijaisha muda wake wa matumizi angalau miezi mitatu kabla ya kuisha muda wake .
  • Hakikisha unamiezi  mi nne tangu umekilipia.
  • Thamani ya Gari isiyozidi 50ml shilling kwa mwaka.
  • Mteja wetu akishindwa kulipia Gari lake baada ya kuwasili Nchini kifurushi chake kitafutwa cha unlimited cha mwaka kitafutwa .

Asanteni na Endelea kutumia huduma zetu,kama unaswali kuhusu na huduma hii karibu toa maoni yako.

 

Jinsi ya kununua Vifurushi bonyeza Hapa.

by Digxam Team.

 

 

 

 

Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.

Veronica Victor Veronica Victor October 27, 2024 1:32 pm

@admin Kuboresha huduma uliza sawali, Comment naku like post hii.

8 Answers
2

Mgoja nikae kiti chambele hapa.

0

Na bidhaa nyingine inakuwaje?

0

Niko up grade kutoka 50k  leo kesho nikaagiza Gari  kunashida?

admin admin Topic starter May 28, 2024 4:42 pm

Posted by: @paulo-aman

Niko up grade kutoka 50k  leo kesho nikaagiza Gari  kunashida?

Hapana vigezo na masharti kuzingatiwa

 

0

Asante kwa taarifa tuko pamoja sana.

0

Hii ikoje?

Veronica Victor Veronica Victor September 17, 2024 6:39 am

@omega Nunua kifurushi upate Gari la ndoto yako.

Kayungi September 17, 2024 8:17 am

@veronica-victor Hiki kifurushi changu   vipi naweza kuagiza Gari gani?

Veronica Victor Veronica Victor September 17, 2024 8:22 am

@kayungi Hicho kifurushi chako nikidogo unaweza kuagiza bidhaa kama laptops Simu na baddhi ya vitu vingine,ukitaka kuagiza Gari upgrade pata unlimited.

 

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

 

0

Nashida na Mazda X5 Black 2005 kupitia kwenye mpango huu.

Veronica Victor Veronica Victor September 17, 2024 8:34 am

@neema Ukidhi vigezo umelipia kifurushi chako 2024-08-20 09:17:06 unaweza kupa Gari nje ya utaratibu huu.

Neema September 17, 2024 8:36 am

@veronica-victor Nikweli lakini tayari nakifurushi ni mteja wenu mnanisaidiaje?

Veronica Victor Veronica Victor September 17, 2024 8:42 am

@neema Fata utaratibu wa kawaida fungua thread weka taari za gari unalolitaka kisha post.

0

Niangalizie muda gani tangu nimelipia kifurushi changu?

Veronica Victor Veronica Victor September 17, 2024 10:21 am

Posted by: @dame

Niangalizie muda gani tangu nimelipia kifurushi changu?

2024-09-17 13:20:03

 

0
20221215 130010

 

Hili Gari tumeagiziwa kwakutumia hii membeship baada ya kufanyautafiti  tumekuta tofauti ya milioni 6 kwenye show room za dar na bei ya kuagiza kupitia  kwetu hii membership kiuweli hii inamaana sana.

Veronica Victor Veronica Victor September 19, 2024 6:36 am

@kayungi Asante sana Oil original kutoka Japan umefungashiwa pamoja na oil filters zake hii ni beneift za hiki kifurushi  nfano kama Gari lako ni Nissan  utapew

20221227 091531

a

Kayungi September 19, 2024 6:39 am

@veronica-victor Hii mbona sikuwe dada yangu?

Veronica Victor Veronica Victor September 19, 2024 6:40 am

@kayungi Inabidi upewe ni haki yako.


Digxam

FREE
VIEW