Fursa za ajira ziko mbili;
1. Kujiajiri
Hapa utakuwa freelancer una share bidhaa plaform yetu kwenye mitandao ya kijamii nakutapa watu ambao watakufanya ulipwe kulingana na idai ya watu utakao wapata au mtu akinunua kitu utapata pasent kulinga na bei ya hizo bidhaa masoko n.k
2. Kuajiriwa
Badaa ya kufanya vizuri katika unaweza kuajiriwa na kuliwa kila mwezi lakini kwa njia ya online itategea na nakujituma kwako kutafuta watu nakuongeza idadi ya watu kwenye account yako ya malipo,kila kazi inachangamoto yake kikubwa ni nia ya kutaka kufanyikisha kile unachokiamini baada ya mwaka moja unakuelewa vizuri haya maneni yangu,
Kuna njia nyingi za kufanya Marketing
Tofauti yake na traditional marketing ni kwamba ,traditional marketing inatumia traditional methods kama radio, Tv, mabango n.k.
Faida kubwa ya digital marketing ni specific na data analysis.
Kwamba unatangaza huduma/bidhaa kwa walengwa wako maalumu kupitia channel wanazozitumia zaidi, pia unaweza kupata data zinazoonyesha umefanikiwa au umeshindwa kupitia campaign au maudhui yako. Tofauti na traditional marketing yenyewe ni Generalized na haina data
Digital marketing ina branch kubwa tano(5)
-Search engine optimization & marketing
-Social media management & marketing
-Email marketing
-Content marketing
-Paid advertising (baada ya kupata watu)
Kozi ya digital marketing sio ngumu sana inatakiwa unjanja kupata watu wengi wakutembelea kazi zako.
Kila mtu anaweza kuwa expert wa digital marketer, kwa changamoto kuhusu digital marketing na jinsi ya kupata masoko kupitia mitandao zipo lakini ukijifunza na kutulia unatoboa.
Shuka hapa chini bonyeza buttons vitufe vya share,kisha share content zetu kwenye mitandao ya kijamii.
Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link
@moderator OK, kwa hiyo ninachotakiwa kushare ni page au website mzima?