Notifications
Clear all

KAMA UNAKITU CHOCHOTE AMBACHO HUNA KAZI NACHO POST HAPA.

28 Posts
18 Users
4 Reactions
342 Views
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

Habari za asubuhi ndugu zangu!

 

Kama unakituchochote ambacho huna kazi nacho nfano

  • Nguo
  • Viatu
  • Vifaa vya ndani kama majiko na friji nk
  • Viti 
  • Gari 
  • Nyumba 
  • Simu
  • Kiwanja
  • Vyombo

chochote  naomba ukipige picha vizuri  tuwekee hapa chini kwenye uzi huu tumbambia uko mkoa gani au sehemu gani.

 

Pia kama kuna mtu mwenye kuhitaji baada ya watu kupost hivyo vitu basi comments chini ya hicho kitu mwambia unashida nacho,kutoa ni moyo sio utajiri.

Asante sana.

 
Posted : May 26, 2024 5:54 am
Allan Jackson
(@allan-jackson)
Posts: 39
DIG-PESA
 

Mimi na mtungi kwa KG 15 wa ORYX sina kazi nao kama kuna mtu anautaka tuwasilie.

 
Posted : May 26, 2024 6:22 am
Kamau reacted
Allan Jackson
(@allan-jackson)
Posts: 39
DIG-PESA
 
image
image

 

 
Posted : May 26, 2024 6:30 am
Lucas
(@lucas)
Posts: 21
Buyer Car Dealers
 

Na wifi ya smile situmii muda ila ni nzima kama kuna mtu anahitaji tuwasiliane.

 
Posted : May 26, 2024 7:31 am
Lucas
(@lucas)
Posts: 21
Buyer Car Dealers
 
F3788BF4 57CA 4080 A8FD DD6CE75E8E93
182102B6 627C 414F 8B98 A9CAA5894893
93DC7AFB 47F2 4884 B1E2 9F74D0DC0EEA
 
Posted : May 26, 2024 7:37 am

TANGAZA NA KUUZA BIASHARA ZAKO KWA NJIA YA MNADA WA KIDIGITAL .

Kwa 10,000 Unashiriki Minada Kwamuda wa Mwaka Mzima.

Shiriki Mnada Ujipatie Bidhaa Kwa Bei Nafuu Sana.

(@kamau)
Posts: 13
Balance 0.000
 

@allan-jackson Nauomba boss i see,uko mkoa gani?

 
Posted : May 26, 2024 10:14 am
(@kamau)
Posts: 13
Balance 0.000
 

@lucas Naiomba mkuu.

 
Posted : May 26, 2024 10:16 am
(@zakayo)
Posts: 10
Balance 0.000
 

@lucas Naimbo hii.

 
Posted : May 26, 2024 10:22 am
GP Logistics
(@gp-logistics)
Posts: 136
Johannesburg Seller
 

Kutoa ni moyo sio utajiri,kuna watu wana vitu vingi sana wengine wanavichoma moto bora kuvigawa kwa watu wenye uhitaji Mungu atawabariki.@Jonson-john

 
Posted : May 26, 2024 5:48 pm
Innocent
(@innocent)
Posts: 49
Deposit 50,000
 

Chochote tunachukua bandugu tuka hapa Moro.

 
Posted : May 26, 2024 5:56 pm

SHINDA 50K KWAKUWA NA POSTS,LIKES PAMOJA NA VIEWS KWENYE CONTENT ZAKO .

Maelezo Zaidi Bonyeza Hapo Chini.

Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 450
Karibu! Seller
 

Posted by: @gp-logistics

Kutoa ni moyo sio utajiri,kuna watu wana vitu vingi sana wengine wanavichoma moto bora kuvigawa kwa watu wenye uhitaji Mungu atawabariki.@Jonson-john

Kuna vitu vingi sana nikipata muda nitavipiga picha na kuviweka hapa, asante sana @admin kwakuliona hili.

 

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

 
Posted : May 26, 2024 6:01 pm
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 450
Karibu! Seller
 

Naamini watu watoa nikitenda cha muda.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

 
Posted : May 26, 2024 6:03 pm
Epson Supply
(@epson-supply)
Posts: 11
Balance 0.000
 

Kama kuna mtu mwenye kifaa chochote cha Epson tag  niko hapa.✅🇯🇵🙏🏿💪🙌🏿🙌🏿🙅🏿

 
Posted : May 26, 2024 7:55 pm
 Rama
(@rama)
Posts: 32
Balance 0.000
 

Nani nataka speaker? 

 
Posted : May 26, 2024 8:46 pm
Zulu reacted
Zulu
 Zulu
(@zulu)
Posts: 27
Balance 0.000
 

@rama Hizo ndio kazi zangu boss nitashukuru sana.

 
Posted : May 26, 2024 8:51 pm

TANGAZA BIASHARA YAKO BURE UPATA VIERS 10K KWA WEEK .

Leta Biashara Yako Tukutangazie Bure.

Tuambie Unauza Biashara Gani Au Unatoa Huduma Gani na Unapatikana sehem Gani.

Baada ya Kujisaji Fungua Page Kisha comment hapo chini .

Paulo Aman
(@paulo-aman)
Posts: 49
DIG-PESA
 

Hii simu ya windows inawaka kama unataka njoo chukua

D19EFCA4 4C98 43A3 961D 8F3D142276EE
F0968D0E 8D55 4715 AAE2 F2FC74493B0D

 

 
Posted : May 27, 2024 4:45 am
(@amoori-mahabudu)
Posts: 18
Deposit 200,000
 

@paulo-aman Nashidanayo boss hiyo.

 
Posted : May 27, 2024 4:50 am
(@octavian-adolph)
Posts: 1
Balance 0.000
 

@allan-jackson uko wap

 
Posted : May 27, 2024 11:53 am
Allan Jackson
(@allan-jackson)
Posts: 39
DIG-PESA
 

@octavian-adolph Niko Kigamboni Vijibweni.

 
Posted : May 27, 2024 1:35 pm
Allan Jackson
(@allan-jackson)
Posts: 39
DIG-PESA
 

@kamau Kiko Vijibweni Kigamboni.

 
Posted : May 27, 2024 1:36 pm

(@kamau)
Posts: 13
Balance 0.000
 

Niko kimara Suka tunafanye nitumie namba nitakucheki.

 
Posted : May 27, 2024 1:49 pm
(@emakinombo)
Posts: 3
Balance 0.000
 

Safi sana

 

 
Posted : May 27, 2024 6:14 pm
Allan Jackson
(@allan-jackson)
Posts: 39
DIG-PESA
 

@kamau  unaweza access private msg  nikupe namba?

 

au mchiki @Admin  akupe namba yangu.

 
Posted : May 27, 2024 9:38 pm
Moderator
(@moderator)
Posts: 111
Moderator
 

@allan-jackson Tayari nimempa namba yako atakupigia mkawasiliane.

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

 
Posted : May 28, 2024 9:07 am
GP Logistics
(@gp-logistics)
Posts: 136
Johannesburg Seller
 
FB3B0363 AC88 4629 A662 E563BBA774B9
AF968FFC 33A1 49C8 B10C 694341961294

water Dispenser mbovu kama kuna mtu anaitaka tuwasiliane niko mbezi beach 🏝 

baada ya week nitakuwa SouthAfrica +277 18219244

 
Posted : May 29, 2024 4:58 am

TANGAZA NA KUUZA BIASHARA ZAKO KWA NJIA YA MNADA WA KIDIGITAL .

Kwa 10,000 Unashiriki Minada Kwamuda wa Mwaka Mzima.

Shiriki Mnada Ujipatie Bidhaa Kwa Bei Nafuu Sana.

(@kidali)
Posts: 16
Available 100,000
 

@gp-logistics Hii naiomba nimepiga siku yako sikupati.

 
Posted : May 29, 2024 5:54 am
 Rama
(@rama)
Posts: 32
Balance 0.000
 

@gp-logistics  Nikekutumia ujumbe whatspp ukisha simu utaukutana.

 
Posted : May 29, 2024 5:57 am
Grace Ngalawa
(@grace-ngalawa)
Posts: 36
Deposit 200,000
 

Huu uzi ni meulewa sana jamani ni muhimu sana.

 
Posted : August 24, 2024 7:05 am


Digxam

FREE
VIEW