Notifications
Clear all

Used TZ Toyota Raum inauzwa 6ml

41 Posts
14 Users
2 Reactions
1,081 Views
0
Topic starter

karibuni wadau nauza gari aina ya TOYOTA RAUM OLD   kwa bei ya ku tupa.6ml kama unavyo iona hapa kwenye picha.

( SERIOUS BUYER ONLY)

ENGINE-PETROL 1490cc
SEATS=5
COLOR=white Metallic 
TRANSMISSION=automatic
MILEAGE= 120,000

NB: HAINA TATIZO LOLOTE NA MALI INAMATUNZO SANA...

 
 

 

351E07C3 1AC0 4754 BCDA 700B27684751
C02505CB D513 4E79 A70D 4FCF9FEE5816
70AF4D30 8276 4FCC AB37 3E79F0A82F2E
AA58A7B9 D4A3 41F0 BF31 418B3A79C0BE
57E7E046 FAEB 4B4A 86E9 BBE7021BA9C5
FBB5250A 9F4B 4C64 AB99 9492978D432E
AD033E99 4814 48F1 98C6 D54A0E0BFCA1

 

31 Answers
0

Bei bado hujasema bosi ounguza niikuunganishe na mteja.

0
Topic starter

Naomba unifanyie wepe kidogo unibaine hapo juu.@moderator 

0

Bei iko juu sana boss wangu.

0

Kuna ndogo wangu analitaka hili Gari tatizo ni bei i see.

0

Gari liko wapi mkuu?

meruly meruly Topic starter May 6, 2024 2:42 pm

@karanga Tabata.

 

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

 

0

Nipe bei ya kuuza.

meruly meruly Topic starter May 6, 2024 2:43 pm

@karanga Ndi hiyo 6

0

Hili Gari bado lipo?

0

fanya 5 nikuunganishe na mteja.

0

Tatizo ulianza na bei kubwa sana.

0

Hili Gari bodo lipo?

0

Naomba ukague hilo Gari Kisha unipe ripo ya ukagazi@Dura

Dura Dura May 7, 2024 7:03 pm

Posted by: @meru

Naomba ukague hilo Gari Kisha unipe ripo ya ukagazi@Dura

Gari liko mkoa gani/sehemu Gani?

Unataka kukua nini kwenye Gari  ilikupe gharama.

 

  • Utaka Kuja condition ya Gari iikoje.
  • Utaka kujua kama kuna matangenzo yata cost bei  gani?
  • Utaka ukaguzi,gharama ya Spare pamoja na matengezo.
  • Utaka kujua spare gani za kubadilisha?
Meru May 7, 2024 7:58 pm

@dura Exactly nataka full report pia kwauzoefu wako unaweza comment ili nipate mwanga kidogo,hili Gari linatakiwa kusafiri kuja Msoma fanya chini juu nipate report.

Dura Dura May 7, 2024 8:04 pm

Posted by: @meru

@dura Exactly nataka full report pia kwauzoefu wako unaweza comment ili nipate mwanga kidogo,hili Gari linatakiwa kusafiri kuja Msoma fanya chini juu nipate report.

Sawa gharama zangu ni 100k,pia Gari linatakiwa kuletwa Gereji kama mwenyewe atakuwa tayari aseme lini nilifaniyie ukazi.

 

Meru May 8, 2024 4:10 am

Posted by: @dura

Posted by: @meru

@dura Exactly nataka full report pia kwauzoefu wako unaweza comment ili nipate mwanga kidogo,hili Gari linatakiwa kusafiri kuja Msoma fanya chini juu nipate report.

Sawa gharama zangu ni 100k,pia Gari linatakiwa kuletwa Gereji kama mwenyewe atakuwa tayari aseme lini nilifaniyie ukazi.

 

Fanya kazi hilo Gari nashida nalo nitakupa hiyi laki moja.

 

 

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

 

0
Topic starter

Gari bado lipo.

liko Tabata Bima.

Mkaguzi Karibu sana muda wowote.

nicheki kwenye simu au hapa kwenye page pia sio mbaya ili kutunza record vizuri.

0

Mhh hii Dunia umefika mbali i see kumbe hili jambo liwezekana kufanyika? nfano mwenye Gari na mkaguzi wakikaa meza moja wakampanga mnunuzi inakuwaje?

Victor Mtungamo Victor Mtungamo May 7, 2024 8:28 pm

Posted by: @zakayo

Mhh hii Dunia umefika mbali i see kumbe hili jambo liwezekana kufanyika? nfano mwenye Gari na mkaguzi wakikaa meza moja wakampanga mnunuzi inakuwaje?

Huu ndio uzuri wa Digital platform,mambo yanaenda kidigitalli  ,ikitokea tatizo kati  ya buyer na Service Provider @admin lazimia awajibike, ili kuondoa mashaka ni lazima admin aweke vigezo vyakutosha na kufatlia kila hatua kwa ukaribu ilikulinda platform yetu,baada ya kazi kufanyika buyer kupata mzigo wake pia anatakiwa kuta taarifa kuhusu ubora wa huduma ili kuwasaidia watu wengine wanaofatilia huduma hizi za online.

Nadhani ni hatua mzuri sana,kuna watu wanatoka mkoani wanakwenda Dar kununua Magari bado wanauziwa Magari mabovu na madalali kwasabu ya uelewa ndogo wa Mambo ya ufundi wa Magari ,hii mifumo inaweza kuongeza imani kwa watumiaji wa platform  hii na kuongeza wateja wanataka kunua Magari ya mkononi ,nawakia kila la heri.

 

0

Naunga mkono hoja,manadiliko ni muhimu sana.

0

Hii huduma iko sawa nimeipenda ila bei nikubwa lakimoja kila Gari mmh hapana.

Karanga May 7, 2024 8:54 pm

Posted by: @pili-matiku

Hii huduma iko sawa nimeipenda ila bei nikubwa lakimoja kila Gari mmh hapana.

Acha uswahili mkuu acha wivu lakimoja ni nyingi kufanya ukaguzi wa Gari acha utoto acha waelewane bhana fundi ukimbana utasababisha zoezi  kuwa ngumu.

 

Maoni yangu: kwenye ukaguzi ongezeni na kipengele cha ukaguzi wa umiliki,biashara inatakiwa infanyike kati ya buyer na ower wa chombo ili kupunguza gharama za madalali pia ikiwezekana mkaguzi pia upitie na umiliki wa muzaji  na police clearance ya Gari ili kuondoa utata wa kununua Magari ya wizi.

 

0

Kwenye biashara za Magari kuna mkanganyiko mkubwa sana watu uelewa wa watu ni mdogo sana wanunuzi wengi uangalia namba mpya wengine wanaka gari ambalo halijabadilshwa rangi na kupulizwa rangi mpya badala kuulizia ubora mtu anakomaa na rangi hizi ni kazi profession kama kazi zingine nadhani hii huduma imeanzishwa muda mzuri sana 

0

Wabongo wajuaji sana ndio maama wanapigwa kirahisi sana.

 

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

 

0

Wabongo waacheni wapigwe na madalali wajuaji sana.

Hizi platform kama hiii inaeza kuua ajira za madalali I see nimestuka sana.

0

Naomba report kama umekamilisha.

0

 

6A64326D 2A3E 4BA9 B11A 450BD818FB93

 

B76B5D67 26A5 4BA8 93AF FEA1651D04AD

Nakamilisha 

0

Unaweza kunifanyia kazi ya ukaguzi nje ya website hii?

Dura Dura May 11, 2024 5:34 pm

@juma Hapana.

0

UKAGUZI WA TOYOTA RAUM.

  • Aina ya Gari : Toyota Raum
  • Usajili  namba :T289DFK.
  • Inamilikiwa .......... amabaye ni  Muuzaji.
  • Rangi Maziwa metallic mpya 

 

 

1.Electrical System 

 

image

 

image

Hii mifumo yote ya umeme inafanya kazi vizuri,

 

2.Car Brake System

1.Foot brake  mbovu maarufu kama hand brake,

2.Brake yenyewe mbovu,

3.Taa ya ABS inawaka.

 

image

 

Huu nfumo ni mbovu  

Inatakiwa kubadiliasha vifaa vifutavyo 

 

image
image

1. Brake Lining mbele,

image

2.Bracke pads nyuma,

image

Gharama ya Matengenezo, 

  1. Brake  Lining mbele  40,000  na kwendelea. 
  2. Brake pads nyuma    60,000 na kwendelea.
  3. Gharama ya mataengezo elefu kuanzia elefu 20,000 inategemea na fundi.
  4. Hivi vifaa vikibadilishwa nfumo wa brake utafanya kazi vizuri
  5. Footbrake itafanya kazi vizuri.
  6. Taa ya ABS itazima.

 

3.Car Suspension System 

image
image

Shock Absorbers  

image

Hili gari litakaiwa kunadilishwa 

1.Shock Absorber kulia mbele.

2.Shock Absorber kulia nyuma.

Gharama zake. 

1.Shock Absorber kulia mbele 40,000 

2.Shock Absorber kulia nyuma. 60,000

3.Gharama ya kubadilisha hizi Shock Absorber  1 kuazia 15,000 kwendelea inategemea fundi na fundi.

 

 

4.Charging System 

image

1.Kuna baring ya alternator ineisha inatakiwa kubadilisha.

2.Charging system inafanya kazi vizuri.

3.Garama yake ni 20,000.

 

5.Taa za mbele.

image

Taanza za mbele za hili Gari zinaukungu zinatakiwa kusafishwa.

Gharama ya kusafisha taa ni elfu 50,000 

 

6.Geabox 

image

Inatakiwa kuongeza nusu lita ya oil 

Bei yake 10,000.

 

Jumla ya Matengezo itagharimu 300k.

 

Baada ya matengezo kufanyika Gari liaweza kusafiri kwende sehemu yoyote bila tatizo lolote.

0

Kama kuna mtu yoyote wenye kazi ya kukagua Gari lake naomba hiyo kazi.

 

1.Naomba ujaze hii form kwenye sehemu ya namba ya simu weka namba ya whatspp kuna baadhi ya vitu nitakutumia kwanjia ya simu.

2.Baada ya kuja hii form vizuri

3.tag kwa kuandika ujumbe wowote kuhusu duma unayota kisha tag @dura nitapa ujumbe wako.

4.Kazi ya hii form ukini tag nikiingia kwenye nikiingia kwenye Providers Panel nakutakuta taarifa zako,nitaweza kukupigia simu nakukuahabarisha kinachoendelea.

 

Dura Dura May 15, 2024 7:16 am

kama kuna mtu nataka hii report ya hili Gari naomba ajaze hii form nitampigia simu nakupa full report form.

 

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

 

0

Tayari nilishajaza kitambo ukiangalia utanipata.

0

Shikamoo technology  Shikamoo Digxam shikamoo members wote.

0

Jana usiku nimepokea Gari kutoka Dar bila kusafiri kwenda Dar wala kumtumia mtu nayemjua.

 

Kila nikimsimlia mtu anashindwa kuamini kumbe haya mambo yanawezekana.

0

Asante sana @Dura pamoja na ungozi wote wa Digxam na ubunifu wenu.

0
7C8799D0 CE3A 4932 ACAF 7F3B2C9D5EDC

 

FCFB0A29 ACB0 489C BDA1 BB63320A7800
1B892CD8 123F 4DE3 AC36 AC431B99FDD9
86B2EC0A 7BD9 42B2 BBAE 0A7752859C2D

Kumbe tunashindwa kufanya mambo mengi kwasababu watu sio wabunifu.

0

Asante sana bro 😎 nashukuru sana.

 

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

 

0

Kama kuna mtu mwingena nahitaji huduma hii karibu sana.

0

Ubunifu mzuri sana.


Digxam

FREE
VIEW