Notifications
Clear all

SOLVED! [Solved] Charger original ya simu tecno pop 2 plus inahitajik

9 Posts
4 Users
4 Reactions
231 Views
1
Topic starter
  • Inahitajika charger original ya tecno pop 2 plus Kwa ajili ya kununua

Dalali Mziefu Kariakoo May 25, 2024 12:00 pm

@frank-jonathan-mwamboza Unapatikina wapi mkuu?

2 Answers
1
image
image
image
image

Kama hii?

Frank@2016 Frank@2016 Topic starter May 25, 2024 1:43 pm

@dalali-mziefu-kariakoo ndio kama hiyo, je Bei ikoje

Dalali Mziefu Kariakoo May 25, 2024 1:51 pm

@frank-jonathan-mwamboza hii bei yake ni 8,000 tu.

Frank@2016 Frank@2016 Topic starter May 25, 2024 2:01 pm

@dalali-mziefu-kariakoo  Niko Tanga tunafanyaje sasa

Dalali Mziefu Kariakoo May 25, 2024 2:31 pm

@frank2016  Kumbuka ni chaja bila waya hii bei,plus 1,440 VAT jumla ni 9,440 usafiri ni juu yako lakini kijua Tanga sehemu Gani nitaituma itakufikia.

Jisi ya kulipa mcheki @Admin atupe muongozo.

Frank@2016 Frank@2016 Topic starter May 25, 2024 2:45 pm

@dalali-mziefu-kariakoo poa nimepata muongozo

1

Unataka pcs ngapi chef? 

Hello Tanzania 🇹🇿 Hello Tanzania 🇹🇿 December 16, 2024 8:27 am

@gp-logistics Mkuu unachaja za mtumba huko?


Digxam

FREE
VIEW